Sitaki kusema ni mimi au laaa..ila ni issue ya kweli..
Ipo hivi
Mhusika kabla ya mkopo alikua anaweza kusave 400k kwa mwezi kutoka kwenye Salary,
Akaona hio 400k inayozidi aikopee bank, riba Mil 3, afungue biashara, pengine atapata zaidi.
Akachukua mkopo wa miaka 3, makato ni laki 4 na senti...