Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.
Hasara za Freeman Mbowe kuwa kiongozi wa kiimla katika CHADEMA, au chama chochote cha kisiasa, zinaweza kuwa nyingi na zinaweza kudhoofisha chama na harakati zake za kisiasa kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya hasara kuu:
### 1. Kudhoofisha Demokrasia Ndani ya Chama
Uongozi wa kiimla unaweza kuzuia...
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
Wakuu Habari zenu?
Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.
Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.
Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano
Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa...
Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku
Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na:
Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, jambo ambalo linaibua kiwango cha ligi kwa ujumla. Hii inavutia mashabiki...
Salaam, Shalom!!
Sina ugomvi binafsi na Ndugu Mwigulu, ugomvi wangu ni juu ya Elimu ya Uchumi na maamuzi ya mtu huyu mwenye kibri ajiitaye msomi kuliko wasomi wengine.
HIZI HAPA FAIDA ZA KUPUNGUZA KODI HASA KWA WATU WA KIPATO CHA KATI NA WA KIPATO CHA CHINI.
1. BIASHARA ZILIZOKUFA ZITAFUFUKA...
Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa.
Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
Gari niliyonunua milioni 5 nikiwa nimeitumia miezi miwili tu niliiuza kwa milioni 1 na laki 3 kumaliza kesi flani isifike mbali tumalizane kimya kimya, pesa ilikuwa inahitajika fasta hivyo mteja ilibidi awe wa fasta, kuna watu wengi wameishia jela kwa kuchukulia vitu poa kwa jicho la mtaani...
Kizazi cha wazalendo CCM kimeisha sasa, ndani ya CCM, kimezaliana kizazi cha mafisadi tupu na hakioni haya kufanya hivyo, wajukuu na vitukuu ambavyo vimekuta wazee wao wanajilimbikizia mali kwa wizi na ufisadi, vimeishi kwenye maisha hayo mpaka vimekuwa na kufikia hatua ya kuwa viongozi
Chama...
Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni baadhi ya faida na hasara zinazohusiana na magari haya:
Faida za Magari Yanayojiendesha
1...
Habari,
Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Africa.
Pili, nawapongeza kwa makusanyo makubwa ya fedha waliyoyapata katika...
Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha zilizoletwa kama bill kwenda serikalini ilikuwa zaidi ya laki saba na sabini na nane.
Nilimpa moja wa...
Umeme unaozalishwa na TANESCO ni junk electricity, umeme usio na viwango.
Ni kama mtu uliyevaa suti na tie, unaishia kulishwa na mama ntilie.
Umeme huu wa TANESCO, huko Mtibwa umesababisha maafa baada ya kuunguza swith board inayopokea umeme mkubwa na hatimaye kuharibu controls za boiler ya...
Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria.
Natanguliza shukrani
nimekaa nikawaza kwa jinsi nilivo na wakati mgumu sasahivi huku nikifikiria kuwa shida yangu kwa sasa inaweza tatuliwa tu kwa laki mbili,
lakini kuna mtu ameweka mamilioni benk au wamechimbia chini au mara nasikia jinsi watu wanavokula na kuishi kwa kupata kila kitu kwa kodi zetu huku sisi...
Hamtaki Chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki Sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein. Hamtakii Mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni.
Ata kama mnanjaa jengeni mazingira basi.
Leo Mgunda anaunga unga kikosi tu. Wachezaji wazuri wote mnawapanga mpige...
Salam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.