Nimekaa nikawaza nikaona kuna mambo mengi hayako sawa.
1. Zamani antenna ya analogy ile masikio ilikuwa inajizungusha yenyewe signal zikipotea unabonyeza tu kitufe. Hizi za sasa mpaka uipandilie huko juu uzungushe mwenyewe.
2. Smartphone ukitumiwa meseji saa 4 asubuhi hauko hewani, ukawasha...