hasira na kulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikiwa na hasira huwa nalia

    Yaani na ndevu zangu na ukubwa huu lakini bado nikichukia naanza kulia, mfano juzi kati kuna mtu alinisingizia kitu ambacho sikufanya nikajikuta tu naanza kulia mbele za watu, baada ya kulia nikawa fiti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…