hasira

Rabbi Yaakov Abuhatzeira, also known as the Abir Yaakov and Abu Hasira (1806–1880), was a leading Moroccan-Jewish rabbi of the 19th century, son of the patriarch of the Abu Hasira/Abuhatzeira family, R. Samuel.

View More On Wikipedia.org
  1. SAYVILLE

    Yanga msishangae sana, hizi hasira mmetupa nyie wenyewe

    Tunajua upande wa pili bado wamepigwa na butwaa wa hizi sajili zinazoendelea pale Msimbazi. Msimu huu ulioisha kuna mambo yaliyotokea katika ligi na hasa mashindano ya kimataifa ambayo kwa kweli yalituumiza sana wanaSimba. Sitaongelea sana ligi ya NBC maana huku tulikuwa tunawamudu ni basi tu...
  2. Teslarati

    Nini kilikupa hasira ya kuzisaka noti na kuusaka utajiri kwa njia yoyote ile? Changu ni hiki

    Nikikumbuka nacheka sana. Nilipomaliza chuo nilipata internship mahala fulani, baada ya mwaka nikapata fulltime job kwenye NGO moja kubwa sana hapa TZ, hapo nilikua kijana wa starehe sana. Nilikua nna tabia moja mbovu sana mwisho wa mwezi, mshahara ukiingia nusu yake nalewea na kuspenda na...
  3. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Hasira za Kumkosa kwa Umafia mliofanyiwa ndiyo mmeamua Kuwachochea Al Hilal FC Wawashtaki FIFA Wachezaji?

    Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC. Haya...
  4. M

    Feisal umemalizana na uongozi bado ujamalizana na mashabiki na wanachama wa yanga wenye hasira kali juu yako

    Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka. Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama...
  5. MK254

    Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

    Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
  6. J

    Hiki ndio kitu ukiwaonyesha mashabiki wa Yanga wanaweza kukupiga mawe kwa hasira

    Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi Kwa chini ni timu ambazo Yanga imekutana nazo, moja nusu fainali, na nyingine Fainali
  7. MK254

    Patriot zinaendelea kulinda mji wa Kyiv, hii inafanya Urusi wawe na hasira sana

    Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi tuwekeze kwa hizi patriots za Marekani...ndio muarubaini wa yote. Russia launched a new wave of air...
  8. Pang Fung Mi

    Kuwa na mpenzi mabinti hawa wazaliwa wa 1998-2003 jitoe ufahamu usiwe na hasira

    Hello JF, Niwakumbushe tu kama mabaharia wenzangu kama unatoka kimapenzi na binti alozaliwa 1998-2003 hasira zako mkopeshe mchungaji, shehe, na kituo cha police. Jitoe ufahamu endekeza raha, kucheka na kupotezea. Na wengi hawajui hata kama mwamposa ni nani. Ubaharia ni ujasili Wadiz...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

    Yaani doc, nimesikitika sana, umeshindwaje kudhibiti hasira zako hadharani? Kwanini uwe gumzo kwa migogoro na wafanyakazi wako, hasa kwenye kuwanyima haki zao? Haya yetu macho
  10. Librarian 105

    Wanasimba hii chungu kumeza, ila hasira zenu msizimalizie kwa Mohamed Dewji!

    Yanga ndio huyo Fainali ya Shirikisho. Tambueni tu mtani anachuma alichopanda baada ya msoto mkali. Uwekezaji, mipango-mkakati na utawala bora, maandalizi mazuri ya msimu, kiu ya mafanikio n.k, vimewafanya jamaa kuandika historia. Mafanikio hayana uchawi zaidi ya kujipanga. Mtaani apewe...
  11. master of cities

    Simba kama mmekubaliana na kichapo cha Wydad msihamishie hasira Kwa Yanga

    Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani...
  12. HERY HERNHO

    Urusi yatwaa urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya hasira ya Ukraine

    Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua hiyo. Kila baraza la wajumbe 15 huchukua nafasi ya urais kwa mwezi mmoja, kwa utaratibu wa kupokezana. Mara ya mwisho Urusi ilikuwa na nafasi ya urais ilikuwa Februari 2022...
  13. O

    Unajiamini kupita kiasi mpaka unatia hasara na hasira kwa wenzio

    Kuna watu wa ajabu sio siri ni wasumbufu. Jamaa flani huwa na tabia ya ajabu yaani yeye akienda garage na gari yake, anauliza kutatua tatizo fulani ni shingapi anaambiwa basi anasema okay fanyeni marekebisho alafu jamaa anakaa pembeni anaagiza bia na ile pesa ya ufundi kinachobaki ndo anawapa...
  14. BARD AI

    Utafiti: Wanandoa wanakaa na Hasira na Vinyongo muda mrefu hufariki mapema

    Utafiti wa zaidi ya miaka 17 wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani ulibaini kuwa Wenza wanaozungumza baada ya Kukwazana na Kupandishana Hasira, wanaishi muda mrefu zaidi. Pia, utafiti umebainisha kuwa Mtu mwenye Hasira muda mwingi huwa na huzuni ambayo inamuweka kwenye hatari ya kupata...
  15. M

    Ili kuwatuliza mashabiki wenye hasira kufungwa na Raja Casablanca FC jana nina uhakika hili kutokea muda wowote

    Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa...
  16. saidoo25

    Waziri Mwigulu Nchemba aache hasira! kujibu maswali ya wabunge ni wajibu sio fadhila

    WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA! 1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu "Honorary Degrees" mbona haijakaa vizuri, hasa ukizingatia hata Rais Samia Suluhu Hassan juzi tu...
  17. B

    CCM Momba Tunduma waandamana kuadhimisha kuzaliwa kwake

    02 February 2023 Tunduma, Tanzania CCM WAWASHA MITAMBO, WARUSHA "MAKOMBORA' KWA WALICHOKIITA CHAMA CHA UPANDE WA PILI Wanachama wa CCM jimbo la Momba wamejitokeza kwa wingi barabarani kufanya shughuli za kisiasa kujibu walichoita mapigo upande wa pili walioanza mikutano ya hadhara. Baada ya...
  18. S

    Hasira ukaa moyoni Mwa mtu mpumbavu.

    MHUBIRI 7 Ukweli wa maisha 1 Heri sifa njema kuliko manukato ya thamani; Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa. 2 Heri kuiendea nyumba ya matanga, Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake. 3 Huzuni ni afadhali kuliko...
  19. Zakaria Maseke

    Madhara ya kukaa na kinyongo au hasira moyoni

    Katika magonjwa yanayoongoza kuua watu ni HASIRA au KINYONGO. HASIRA au KINYONGO ni chanzo cha magonjwa mengi na vifo. Vinapunguza sana siku za kuishi. Uchungu usipoutoa moyoni utatokea sehemu nyingine, 👌 ukitokea kwenye ziwa, 🤱 tunaita kansa ya titi, 🌝 ukitokea kwenye moyo tunaita presha, 😯...
  20. saidoo25

    Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
Back
Top Bottom