1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
4. Mwingine akishikwa na hasira...