hassan mwakinyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Bondia Mwakinyo avuliwa mataji yote ya ubingwa, mwenyewe asema 'fresh tu'

    Baada ya kuvuliwa ubingwa wa mabara wa WBF miezi kadhaa iliyopita, bondia namba moja nchini, Hassan Mwakinyo amevuliwa ubingwa wa Afika (ABU). Wikiendi iliyopita bondia huyo amevuliwa ubingwa wa African Boxing Union (ABU) alioutwaa Mei mwaka 2021 kwa kumchapa kwa Technical Knock Out (TKO)...
  2. Makonyeza

    Kiduku anataka kucheza na Mwakinyo?

    Mashabiki wa Kiduku, Mwambieni bondia wenu sisi hatuchezi na bondia ambaye hajawahi kushinda nje ya Tanzania. Ili awe na sifa za kucheza na Mwakinyo kwanza Kiduku akacheze nje ya nchi ashinde, baada ya hapo tutasaini mkataba naye. Ngumi ndio kazi yetu [emoji123][emoji123] Lakini hatuchezi...
  3. Chachu Ombara

    Mabondia Hassan Mwakinyo na Ibrah Class wavuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental

    MABONDIA wawili wa Tanzania, HASSAN MWAKINYO na IBRAH CLASS, wamevuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental na Shirikisho la ngumi za kulipwa la dunia la WBF. Taarifa iliyotolewa na WBF imeeleza kuwa, mabondia hao si mabingwa tena wa mikanda ya WBF. Hassan Mwakinyo --- The World Boxing...
  4. Analogia Malenga

    MWAKINYO: Kushindwa pambano sio kuwa bondia mbaya

    Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewalaumu Watanzania kumkandia Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kwa kupoteza pambano lake dhidi ya bondia wa DR-Kongo, Tshimanga Katompa. Amesema Dullah Mbabe aliwahi kushinda pambano nje ya nchi na hakuna aliyemposti ambapo kwa kupoteza pambano lake hivi...
  5. B

    Kwenye list ya mabondia bora duniani aliyomo Mwakinyo, why kina Paciao na Mayweather hawamo?

    Kwenye list ya mabondia bora duniani aliyomo mwakinyo, why kina paciao, froyd maywather hawamo? Kupitia jukwa hili, naamini majibu ntayapata
  6. Analogia Malenga

    Mwakinyo, Sina mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi

    Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius Indongo, kutoka Namibia Septemba 3, 2021 wakipigania mkanda wa African Boxing Union Super Walter Title...
  7. Chinga One

    Ni wakati sasa Twaha Kiduku azichape na Mwakinyo

    Au mnasemaje wadau? ==== 9 Sep 2020 Bondia namba mbili kwa ubora Tanzania Twaha Kiduku amesisitiza kuhitaji pambano na Hassan Mwakinyo ili afahamike nani bingwa wa nchi. Kauli hii aliitoa wiki mbili zilizopita ameirudia tena siku ya jumatano alipokuwa anafanya mahojiano na moja ya kituo...
  8. poposindege

    Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo

    Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo mwenye umri wa miaka 38 katika pambano la kugombea mkanda wa ABU (African Boxing Union) uzito wa Super Welter katika ukumbi wa Kilimanjaro Hall, Ubungo Plaza, Dar-Es-Salaam. Rekodi ya...
Back
Top Bottom