hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Aisee, huyu mwamba sijui katokea wapi na anaelekea wapi haha, hata walinzi wamebaki kushangaa bila kumzuia haha.

    https://youtu.be/y1kmYqisApc?si=mIPdFfjf4Zaqg5lx
  2. Eli Cohen

    Hamas walitegemea hawa bidada wataonyesha sura za hofu na majuto ila hawajui hata Israel wenyewe wameshindakana kama wao

    Naona matapeli wamewaachilia watu wasio na hatia. Hongera kwa benja kwa kuwaminya hadi wanaanchia wenyewe .
  3. chiembe

    Mzee Philip Mpango, sasa ndio umenuna hukutaka hata kuhudhuria uzinduzi wa wiki ya sheria?

    Uombe kupumzika mwenyewe halafu utununie.
  4. Manyanza

    Sio kwenye Pete tu hata kwenye saa

    Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake. Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete zinazovaliwa na watu mbalimbali wakiwemo Mashehe, Wachungaji, Maaskofu na watu mbalimbali. Huwa...
  5. M

    HITIMISHO:Mbowe ni zaidi ya Lissu hata kama Demokrasia imeamua.

    1.Mbowe ana uwezo wa kutumia mbinu tofautitofauti katika kupigania mabadiliko,Kwa kifupi hakuna kipya ambacho atafanya Lissu Mbowe hajakifanya,kama ni kugomea Uchaguzi Mbowe alifanya 2019,kama ni kuandamana Mbowe alishafanya,kama ni kuongea Mezani Mbowe alishafanya kwahiyo Mbinu nyingi zitakuwa...
  6. Genius Man

    watu walio weka huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kujiundia tume huru wanapaswa kuchunguzwa na hata kushtakiwa

    Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka kinyume cha sheria kwa kujiteuwa wao wenyewe kwasababu mgombea huyu kuunda tume huru hakuwezi kuwa na...
  7. Nomadix

    Kwanini Addiction ni ngumu kuacha hata kama unajua madhara yake

    Habari zenu wakuu Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia ... Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama: -Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara...
  8. Morning_star

    Ahadi zinazotolewa hapa hata wanasiasa wakasome!

    Ebu tiririka uongo unaondondoshwa hapo! 😄😀
  9. proton pump

    Ni hofu ipi kuu inayokusumbua? Hata uwe jasiri kiasi gani lazima kuna vitu vinavyokutia hofu na unatumia njia gani kuishinda?

    Tunazaliwa katika ulimwengu usiokuwa na hofu lakini ulimwengu wenyewe hututia hofu. Tunakutana na vitu mbalimbali vinavyotutia hofu katika ulimwengu huu. Japo tunakuwa na ujasiri fulani lazima kuwe na vitu vya kuogopa. Inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikua huogopi baadhi ya vitu lakini kadri...
  10. KING MIDAS

    Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

    Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year. Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26 [22]Usiache kutoa zaka ya...
  11. GRAMAA

    Wafungulieni wajumbe wapate hewa hata kidogo jamani!

    Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana. Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika. Pia wanahoji kwanini...
  12. GENTAMYCINE

    Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  13. Dabil

    Mechi ipi Jonathan Kapela kafunga hata goli?

    Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa
  14. S

    Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

    Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo. Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....." Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa...
  15. B

    Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  16. M24 Headquarters-Kigali

    Hata Lissu akiwa M/Mwenyekiti CCM (sio CHADEMA) hana maajabu kisiasa

    Kwa Nguvu ya CCM Hata LISSU awe Makamu Mwenyekiti wa CCM hana madhara (Debe tupu).
  17. M24 Headquarters-Kigali

    James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  18. D

    Methali ya ajabu niliyopewa na mama mkwe wakati anakazia hoja yake, "aliyejamba hayaachi kunuka".

    Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake, "ee baba, anayejamba...
  19. chiembe

    Hata Lissu akishinda, BAWACHA na BAZECHA, na wajumbe wengine wa kamati kuu wasitoe ushirikiano wowote kwa Lissu

    Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu. Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
  20. R

    Lema kuambatana na Kitenge kwenye jogging siyo dalili njema kisiasa; hata DP world ilianza kama ubuyu

    DP world ilianza kama ubuyu means tetesi na walioongoza huo ubuyu walikuwa wana habari. Walikaa kiti cha uzalendo wakidai wanawatetea wanyonge kumbe wanalo jambo nyuma ya pazia. Mhe. LEMA yupo too emotional kuliko wakati mwingine wote. Ni kipindi ambacho amezungumza hoja nyingi kuliko...
Back
Top Bottom