Habari wakuu,
Nipo kwenye tovuti ya polisi ya kuomba hati ya tabia njema, hapa: Police Clearance
Sehemu zote naweza kujaza isipokuwa kwenye sehemu inayodai 'Application letter reference number' na 'application letter reference date'. Hizi ni barua gani na namuandikia nani? Msaada tafadhali.