Msaada kukamilisha fomu ya maombi ya hati ya tabia njema polisi mtandaoni

Msaada kukamilisha fomu ya maombi ya hati ya tabia njema polisi mtandaoni

Black_Mambazo

New Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
4
Reaction score
3
Habari wakuu,

Nipo kwenye tovuti ya polisi ya kuomba hati ya tabia njema, hapa: Police Clearance

Sehemu zote naweza kujaza isipokuwa kwenye sehemu inayodai 'Application letter reference number' na 'application letter reference date'. Hizi ni barua gani na namuandikia nani? Msaada tafadhali.
bwoki.jpg
 
Back
Top Bottom