hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hatimaye TANESCO wazindua namba mpya 180 ya huduma kwa wateja ya bure

    Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
  2. Watano waongezewa nguvu za kiume Hospitali ya Benjamini Mkapa

    Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa uume. Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Prof. Mabere Makubi, akizungumza leo Machi 4, 2025 jijini Dodoma...
  3. Hatimaye Zelenskyy amwandikia barua Trump warudi meza ya mazungumzo

    Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba wa kuuza madimu yake. CREDIT: Aljazeera
  4. M

    Kujihisi kuchelewa imefanya wengi wachague bila utulivu na hatimaye kujichelewesha zaidi

    Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha ni muhimu kuwa na utulivu zaidi hasa pale unapojiona kuchelewa. Kushindwa kudhibiti hisia za...
  5. Namshukuru Mungu mno, hatimaye nina afya njema

    Salaam jamiiforum Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo. Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno. Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya daktari mmoja kuniambia nimeumia ndani Kwa ndani na X ray inaonesha upande wa mbavu ya kulia haipo...
  6. Hatimaye nimeweza kuondokana na addiction ya JamiiForums

    Niliijua JamiiForums 2013 wakati nimemaliza mafunzo ya JKT. Nilikuwa nikifukuzia ajira za majeshi na idara za ulinzi. Sasa wakati naandika jambo google nikajikuta nimeletwa JF. Nilishangaa sana kuona kitu amazing. Kwakweli JF iko vizuri, nikawa napata updates za ajira mbalimbali , taarifa za...
  7. Y

    Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

    :::::: Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
  8. Hatimaye! Lissu na CHADEMA wafanikiwa kuwashika CCM pabaya!

    Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election. Utafiti wangu umeonesha kuwa suala la No Reform No Election lilitangazwa na CHADEMA linawapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu...
  9. Hatimaye gari la taka lapita kukusanya takataka mitaa ya Singida

    Februari 12, 2025, Mdau wa JamiiForums kupitia Jukwaa la Fichua Uovu alielezea kukerwa na tabia ya mamlaka zinazohusika na uzoaji taka mitaani katika Manispaa ya Singida kuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery, hatimaye taka zimeanza kuchukuliwa kutoka...
  10. Hatimaye Eng. Hersi ameamua kuivua Yanga ubingwa wa ligi kuu

    Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja Ramovic, timu ili struggle kwa mechi kadhaa ila ikaja kutulia baadae, bahati nzuri mechi za klabu...
  11. Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  12. A

    Hatimaye Mungu amebatilisha Ushindi wa kulazimisha baada ya mechi kuchezwa dakika 108

    Jamani mpira ni burudani tu. Na wala kushinda sio lazima. Hata akina PSG au Liverpool huko ng'ambo hawashindi kila siku. Kwa hiyo Simba na Yanga Pokeeni meseji hiyo. Nimejionea leo uhusika wa MUNGU dhidi ya dhulma. Lile kosa la kibinadamu la chasambi lililopelekea Fountain kupata goli...
  13. K

    Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

    Mwanamke muelewa Anajishusha Anapenda ujifunze Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
  14. T

    Hatimaye nimepata mchumba Mzungu, Namuoa kama mke wa pili na amekubali

    Helooo, Jf, Heloo Tanzania hatimae nimeopoa manzi ya kizungu, yaani ni full mahaba in the house. Sasa namuoa kama mke wa pili na ameridhia kazi kwenu na nyie mtafute kama wanapatikana kirahisi.
  15. Hatimaye nimepita mtihani wa Kiswahili maandalizi kwa ajili ya Oral

    Mungu ni mwema licha ya ugumu wa mtihani kati wa watahiniwa 23426 basi kwenye 775 waliopita kwa alama kwenda oral interview nipo😭 Naona tunamepata ofa ya siku mbili kujianda kutokana na ugeni nchi kwetu. Naamini Mungu ataendelea kutenda na pia mliokosa basi msikate tamaa japo utaratibu huu ni...
  16. A

    Hatimaye kiungo Novatus Miroshi amefaulu kupata namba ya kudumu kwenye timu yake na leo kafunga tena

    Beki wa Tanzania anayecheza nchini uturuki akiwa na timu ya Goztepe SK, Novatus Dismas Miroshi amefaulu kujinasua kutoka kifungo cha kukalia benchi na kuanza kuaminiwa kuanza. Leo amefunga goli la pili katika mchezo ambao wamepoteza 3-2 na Fenerbahce inayonolewa na Jose Morinho. Hii kwake ni...
  17. Hatimaye Wadada Mmefikiwa

    Kwanza naomba mjue nawapenda sana maana bila uwepo wenu hapa duniani sijui kama maisha yangekuwa na thamani yoyote,ndiyo maana pamoja na baba yetu Adamu kuwa peponi lakini bado Mola wetu akaona mpatie mama yetu Hawa Ukimpenda mtu unamwambia ukweli ili kama kuna madhaifu anajirekebisha na huo...
  18. Pre GE2025 Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa

    Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge. "Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa...
  19. Hatimaye Zelensky akiri hadharani jeshi lake haliwezi kuyarejesha maeneo yake yaliyokombolewa na urusi

    Akiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014...
  20. Hatimaye TLS yamjibu Waziri Ndumbaro juu ya kauli ya "Kukurupuka" vita ni vita Muraaa.

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama katika masuala anayohusu sheria, kukosoa kwa maslahi ya umma bila woga, hofu wala upendeleo, Aidha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…