Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA.
Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
Mimi binafsi ningemshauri, aifanye polisi isimame kama chombo huru kinachofanya mambo yake kwa mujibu wa kanuni ambazo zipo, na kisiwe chombo ambacho kinapokea maagizo kutoka taasisi zingine za kiusalama mfano tiss kuipa kazi polisi, pengine jukumu lilipaswa kushughulikiwa na tiss wenyewe...
Wakuu,
Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Uzi huu utakuwa maalum...
Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
baada
daftari la wapiga kura
geita
hatimaye
jina
kuelekea 2025
kupiga kura
kura
lge 2024
mkali
msimamizi
msimamizi wa uchaguzi
mtifuano
mvutano
tamisemi kusimamia uchaguzi
uchaguzi
uchaguzi serikali za mitaa 2024
uchaguzi wa serikali za mitaa
wapiga kura
Habari ndio hiyo wakuu
Russia's Defense Ministry admitted on Nov. 26 that Ukraine had targeted Russian S-400 air defense systems and an airfield in embattled Kursk Oblast with U.S.-made long-range ATACMS missiles over the past three days...
Soko la Msufini lililopo eneo la Msufini katika Manispaa ya Singida hivi karibuni kulikuwa na changamoto ya uchafu katika sehemu ambayo ilifikia hatua ya kuitwa Dampo la Msufini.
Dampo hilo hivi karibuni liliripotiwa kukithiri kwa uchafu ambapo wahusika hawakuwa wakichukua hatua ya kuzuia...
Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika kwenye browser nyingi duniani, kama vile Mozilla Firefox, UCbrowser, Safari, Google Chrome, Operamini n.k...
Wadau hamjamboni nyote?
Hii ndiyo sala maalumu kabisa ya kimapokeo inayomsihi na kumuomba Adonai awalinde na kuwapa ushindi Wana Israel wanaokwenda vitani kupambana na magaidi ya Hezbollah huko Lebanon.
Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanoni mpaka jangwa la Misri...
Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mazda wameamua kuzindua officially Mazda EZ-6 ambayo ni EV version ya Mazda 6/Atenza.
Kuonesha ubabe wake kwenye EV, Mazda aliamua kushirikiana na kampuni la Kichina la Changan katika kutengeneza hii chuma.
Itakuja na flavor mbili, either full...
Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja.
Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja...
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya kusajiliwa akiwa mchezaji huru katika timu ya AEK Athens inayoshiriki Ligi Kuu ya Ugiriki.
Martial (28) ambaye alidumu United kwa Misimu Tisa, hakuwa na timu tangu alipoondoka klabuni hapo...
Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
Wanajukwaa ikumbukwe Google walishtakiwa Kwa kufanya monopoly kwenye search engine ikiwa ni pamoja na kumiliki platform nyingi kama vile, Android, Chrome, YouTube, Gmaps, Gmail, Gmeet, n.k now wameshtuka wanarecommend pia na browser nyingine
Lakini Kesi kubwa ilikuwa ni kudominate search...
Siku za nyuma niliwahi kuleta uzi juu ya rafiki yangu ambaye tuna-share baadhi ya idea kuhusu kazi na maisha, nilimuelezea vya kutosha kuwa yeye na nyapu ni sawa na fisi na mifupa. Hata apite wa gharama gani, ni yuko tayari kuuza hata roho ili aonje tu hata kwa nusu dakika, kwake inatosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.