Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi.
Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati.
Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.
Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4.
Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka...
Wadau
Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha kwamba nimefanikiwa/bahatika/barikiwa kupata kazi kutokana na connection ya mdau mmoja aliyepitia...
"Wakuu naoa mimi 😂😂
Alooo 😂😂😂 Kwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34. Wadogo zangu wote walishaoa. Umri wangu walishaoa. Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la...
DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo
Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya...
Wizara ya Afya Tanzania wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya binafsi (APHFTA) kwa hatua hii nzuri yenye kuleta matumaini katika kufikia suluhisho la changamito iliyojitokeza. "Sote ni wamoja, turudi kwenye majadiliano, huduma bora za afya ziendelee kutolewa kwa wananchi."...
Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi
Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia...
Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse.
Baada ya kufutwa kwa kesi hiyo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewakamata tena na kuwafungulia mashtaka yale yale...
Marekani wamepiga kila kinachohusiana na Iran huko nje hadi Iran ameng'aka, kwamba kwa vyote mnavyopiga msiguze hizi meli maana tutapigana sasa......hehehe
Haya yetu macho maana Marekani ukimwambia wapi asipige ndio kama umemuelekeza, alikua anapiga akitafuta kuskia wapi Iran atahisi kitu...
Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.
Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya...
Salaam ndugu zangu,
Nimekaa mtaani kwetu hapa takribani Miaka mitatu lakini sikuwahi kumjua Wala kumuona Mwenyekiti Wala Diwani wa Mtaani kwetu.
Tumekuwa tukipata shida za Maji, changamoto za kijamii lakini daima sikuwahi kumuona. Lakini Mwaka huu tangu uingie nimemuona zaidi ya mara tano...
Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi...
Wana bodi,baada ya kuripoti kadi ya NHIF kutopokelewa hospitali za private,hatimaye nimefanya uchunguzi wangu binafsi mbali na hospitali ya IMEC iliyopo manispaa ya Iringa,nikagundua kwamba,sio private zote hazipokei,bali ni hiyo tu moja(IMEC) ambayo hawajatoa sababu za kueleweka kwanini...
Hivi karibuni, Shirika la Habari la CBS la nchini Marekani lilichapisha waraka kuhusu safari ya ujumbe wake mkoani Xinjiang. Tofauti na habari zisizo za kweli zinazotangazwa na vyombo vingine vya habari vya nchi za Magharibi, waandishi wa habari wa CBS walieleza kile walichokiona na kukisikia...
Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji watano, watatu wana familia na wawili akiwemo mimi tu mabachela
Kero iliyopo ndani ya hii nyumba ni...
Hebu jisomee mwenyewe huu utetezi duni.
========
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’ ikiwa pia ni Ndege ya zamani ambayo ilishakosa vigezo vya kuendelea kuruka.
Baada ya kuandikwa...
Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake.
Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu.
Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
Kuanzia mwaka huu wa 41 wa Shinchonji uanze, hatimaye leo nimezima AC ya chumbani baada ya mvua kubwa kunyesha.
Mvua imeanza kunyesha muda wa saa kumi na moja na dakika saba, hadi sasa inachapa mvua kubwa.
Natamani niende nje nikiwa uchi wa mnyama nikarukeruke kwenye mvua kwa furaha.
Jamaa sasa hivi anafaidi mabikira....
The IDF says it has eliminated the company commander of Hamas’s elite Nukhba force in central Gaza’s Deir al Balah in an overnight airstrike.
It says Adel Msammah commanded the Nukhba terrorists who carried out the attack on Kissufim on October 7, and...
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.