hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  2. S

    Hatimaye Wanasayansi wamebadilisha Gia angani kuhusu nini chanzo cha uwepo wa maji Duniani

    https://www.yahoo.com/news/no-asteroid-impacts-needed-newborn-210053397.html
  3. Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

    Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄 Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
  4. Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

    Ijue story ilipoanzia 👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/muombee-adui-yako-njaa-maandamano-yanayoendelea-kenya-yawafurusha-watalii-800-na-kukimbilia-tanzania.2081704/
  5. Hatimaye Fred Saganda Ntogwishango apata mke.

    Apataye mke apata kitu chema. Hatimaye msanii mkongwe mjini Fred Saganda Ntogwisango amepata mke. Fred Sanganda ni msanii mwenye vipaji lukuki, ni mchekeshaji, mwimbaji, mpigaji wa ala za muziki, ni producer, ni sound engineer, ni mchora katuni, na pia ndiye twiga wa kwenye katuni za Ubongo Kids.
  6. B

    Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

    Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea. Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi. Raila agenda ni zile zile: Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia tu kama kwetu. Siri ya mafanikio yao ni uwepo wa nguvu ya umma ya uhakika. Pia soma > RAILA...
  7. B

    Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

    Asalam aleykum Nimekuwa single kwa mda mrefu nimeona sasa ni muda sahihi kuwa na familia Sihitaji Mtu wa kusumbuana nae tena Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia mwenye uhitaji navigezo ninavyohitaji naamini Kuna wanaume wema wenye uhitaji Sifa za mwanaume. -Muislam awe anafanya ibada...
  8. Hatimaye ushauri niliowahi kuutoa hapa JF leo umetamkwa hadharani na Rais Rais

    Leo sitaandika sana. Soma huo uzi niliowahi kuandika humu kisha soma alichosema Mama leo. Nimeamini mama yumo humu na anatusoma. Mimi kama mtanzania mzalendo nitaendelea kutoa mawazo ya kujenga nchi hadi pale nitakapotwaliwa na muumba...
  9. Hatimaye Bojan Krkic aliyetabiriwa kama Messi ajaye amestaafu kandanda

    Bojan Krkic Perez, mzaliwa wa Catalunya, Spain miaka 32 iliyopita hatmaye ametangaza kusatafu kabumbu. Bojan ambaye akiwa katika shule ya soka (akademi) ya Barcelona (La Masia) alikuwa anatajwa kama mrithi wa Messi au Messi ajaye. Alikuwa anacheza kama mshambuliaji au winga, kutokana na uwezo...
  10. Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

    Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu umeisha huku Mrusi akiwa ameganda anapambania kamji ka chumvi huko mbali Bakhmut. === Kyiv said that...
  11. Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

    BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali. Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
  12. Hatimaye Arsenal yashuka mpaka nafasi ya pili msimamo EPL

    Baada ya kipindi kireeeefuuuuu cha kukalia usukani hatimae Arsenal wameshushwa leo na Man City. Je, ndio basi tena au watarudi?
  13. ZANZIBAR: Hatimaye House of Wonder Imepata mkandarasi, kutoka Oman

    Hili jengo (pichani) Nyumba ya Maajabu (House of Wonder) ni sehemu ya urithi wa visiwa hivi vya Zanzibar, toka mkoloni alipong'olewa kuja mpaka miaka ya hivi karibuni jengo hilo limeingizia Zanzibar mapato mengi yatokanayo na utalii. Miaka ya hivi karibuni jengo hilo lilibomoka na kuanguka hali...
  14. Hatimaye Munishi afunguka kuhusu gari ya Geodervie

    Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha. Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo kwamba anarudisha gari ya Geodervie sababu hataki "kufanya" anachoombwa na nabii huyo, jambo hili...
  15. B

    Dkt. Mpango: Aliyetoweka na kufanyiwa matanga hatimaye alipatikana mbaroni Polisi

    Hii nchi ni ngumu sana. Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola. Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo: Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai...
  16. Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

    h
  17. Ujerumani yaruhusu upelekwaji wa vifaru vya Leopard 2 nchini ya Ukraine

    Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine. Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na Ujerumani ambavyo wanasema ivtawasaidia kuishinda Urusi. Lakini Ujerumani bado haijatoa magari ya...
  18. Baada ya muda mrefu sana hatimaye nimekutana na Binti Mrembo Mweusi Pee!

    Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno. Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee. Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia...
  19. M

    Anayefikiri kuwa moto wa Arsenal ni wa mabua, ni kama fisi anayemnyatia mtu akidhani mkono wake utadondoka apate kitoweo

    Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!! Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka...
  20. Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

    Ni safari ya miaka 9 ya kufahamiana nae, ni jirani yangu kutoka huko mkoa wenye Mawe mengi zaidi. Nilimfahamu kanisani nikiwa likizo ya masomo (nimetoka advance) yeye akiwa o-level form two binti mdogo sana asiyejua chochote kile, hapo ndipo safari yetu ya kufahamiana ilipoanzia. Kwa akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…