Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.
Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa...
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"
Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu. Kamfananisha na hogo pevu ambalo ukitaka kuling'oa sharti uwe muerevu. Sasa kazi kwao ambao wanamchukulia...
Unjani sabuwona
Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake Linaanzia na A.
Wakuu after struggle ya almost 3 months mtoto namfuatilia bila matokeo yoyote yale but...
Nimeijua website hii toka 2020, nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote.
Hata nikiwa kwenye gari, nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu.
Kombe la dunia sijakosa mchezo hata mmoja hata nikiwa kazini natega tu simu yangu nachek game live tena HD...
Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar
Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar.
Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
Amepost kwenye insta story yake
MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia rapa (Atalaku) Kiongozi Pitshou Lisimo ( jina la Kimuziki GENTAMYCINE ) ila kwa sasa ameshapatikana...
Aisee kiukweli siwezi kuelezea safari yangu ya fungate toka marekani missouri nyumbani mpaka qatar aisee huku yues.Habari majobless na mnaishi kwa shemeji zenu samahani kama nitawakera kwa hizi bata zangu ila pesa zipo kwa ajili yetu na nyie kuna siku mtazikamata tu huku yues.
Safari yangu mimi...
Kwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
Baba wa kambo wa Pac na baba mzazi wa rapa Mopreme, kaka yake Assatta hatimaye yuko huru, lakini ana siku chache za kuishi sababu ya kansa.
Taarifa zaidi inafuata.
Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha.
Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa kupata mbolea zote.
Kule kwenye usumbufu zaidi taratibu ziwekwe sawa ili kuwawezesha wasiynpata wapate...
Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya kutungua mashambulizi ya angani yametua Ukraine.
Madude haya ni NASAM, Aspide na Iris.
Yakifungwa...
Mzuka Wanajamvi!
Katika hatua za kufuzu Lewis Hemilton aneshika nafasi ya kwanza first spot au first pole leo kwenye Mexican Grand Prix.
Hii itampa uwezekano wa kuibuka mshindi kesho, baada ya mashindano mengi.
Hamilton kapitia kipindi kigunu sana hasa kisaikolojia baada ya kupitia ubaguzi wa...
Wakuu,
Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa takribani masaa 7, kuanzia saa 7 mchana hadi saa 2 usiku.
Mashambulizi haya yaliyolenga kuidhoofisha...
Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika Mashariki Simba Sc kutinga katika makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.
Hakika Juma Mgunda ni dhahabu na...
Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
Nimetulia namsikiliza kwa makini Spika Tulia akiwataka vijana wanaosadikiwa ni wa CCM kuwashughulikia wanaowakosoa viongozi wa chama na serikali. Moja kwa moja nikamkumbuka kijana machachari Ben Saanane kwa jinsi alivyokuwa anahoji sifa za Rais na Mwenyekiti wa CCM, John Pombe Magufuli (RIP)...
Muda huu Putin ana-sign kuzikalia mikoa minne iliyo ndani ya Ukraine.
Hii inaonyesha wazi Russia ni taifa lenye nguvu sana dhidi ya watu wa ugaibuni, wangekua waafrika au waarabu, America ingesha wachakaza vibaya.
Putin ni mwenye uwezo mkubwa wasiouweza ama utakao wasumbua sana.
===========...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.