TAARIFA KWA UMMA
Tumepokea barua kutoka TCRA ikitutaka tujieleze kuhusiana na Habari tuliyoiandika ikihusisha Maandamano ya Wamaasai kuelekea Ubalozi wa Kenya wiki iliyopita,DARMPYA TV ONLINE inashtakiwa na TCRA kupotosha maandamano yale kwenye ukurasa wa Twitter wa Darmpy Blog.
Chanzo...
HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE
Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea
===
WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
Hatimaye aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde Usharika wa Ruanda, Dk Edward Mwaikali amekabidhi ofisi na mali, yakiwamo magari 10 kwa askofu mpya, Geofrey Mwakihaba.
Makabidhiano hayo yalifanyika juzi katika usharika wa Ruanda, chini ya...
Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu'
"Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015.
😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako...
Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
Hatimaye Serikali ya Uingereza imeonesha njia ya wazi kwa Bilionea Roman Abramovich kuiuza Klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly kwa paundi bilioni 4.25 (Tsh. Trilioni 12.3) ndani ya saa 24 zijazo
Vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa kuna mafanikio makubwa katika mazungumzo wakati huu ambapo pasipoti ya...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Kwa Maslahi ya Taifa,
Leo Kwa Maslahi ya Taifa ni uwezo wa Jeshi letu la polisi ku deal na hawa watu wanaitwa *wasiojulikana", maana sasa ni kama wanaanza kutajana kiaina!.
Naomba kuanza bandiko hili Kwa msisitizo, nimeuliza swali, "...
Japo watu wengi walikuwa wanafahamu kuwa lengo la Urusi tangu mwanzo ilikuwa ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kijeshi Walikuwa wanafanya kama siri fulani. Kwa sasa wanasema kwa wazi lengo hilo, kama mkuu wa majeshi ya marekani alivyokiri hilo lengo. Ila hawakuwa tayari kuingia wao binafsi...
Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji mhimu wa Mariupol. Umuhimu wa tukio hili ni kuwa hii inawakilisha kushindwa wa wanazi mamboleo wenye itikadi kali. Wanazi hawa waliokuwa wanaulinda mji huo ndio walikuwa lengo la Putin la "denazification".
Kwa hiyo lengo hilo linakuwa limetimia. Lakini...
Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
Habari waungwana..... Huu ndiyo muda muafaka wa kuwahama azam na kwenda kwenye full hd DSTV maana kifurushi cha Azam cha bei ya juu TSH 35,000 channel zake hazifikii kifurushi cha DSTV cha TSH 21,000.
Kwaherini Azam mlinifaa Sana kwa kipindi nilichokuwa nanyi na huu ndiyo muda rasmi wa...
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani.
Chanzo: TBC online
Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.
Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Shangwe limeibuka kwa wakazi wa Rwanda na Uganda baada ya mpaka Gatuna unaotenganisha nchi hizo, kufunguliwa rasmi leo Jumatatu.
Mpaka huo uliopo wilaya ya Gicumbi ulifungwa mwaka 2019 kutokana na maelewano mabovu baina ya nchi hizo mbili ambazo ni majirani...
Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la.
Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk
Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu
Uzi tayari
===========================
Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia.
Vita...
Baada ya kuwa na matokeo mabaya hivi karibuni ikiwemo kufungwa na kupata sare, Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brighton katika mchezo wa Premier League.
Mchezo huo uliochezwa usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2022, mabao yamefungwa na Cristiano Ronaldo ambaye...
Nawashukuru sana mods JamiiForums kwa kufanikisha hili, pia members wote humu mmeni inspire kwa michango yenu mizuri ikafanya mpaka nikaamua kujiunga.
Ahsante sana, itapendeza kama mkanikaribisha kwa Likes, comment, ..
Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 10 kwa nchi nzima ili kuruhusu matengenezo ya mitambo ya kufua umeme kote nchini. Mgao huo utaanza Februari Mosi hadi 10 mwaka huu.
========
TANESCO KUFANYA MABORESHO KWENYE VITUO VYAKE VYA UZALISHAJI UMEME VYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.