hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

    Kuna mengi mnaweza msingizia Rais nikanyamaza. Nikasemehe. Lakini hili la kusema ana maono.... Hapana hapa mnamkosea sana. Mlisema haijengi nchi, nchi haina uelekeo nikanyamaza. Nikasema anyway watu husema kile wanachoona wakifananisha na uzoefu wao. Mkasema anauza nchi nikanyamaza. Nikasema...
  2. Ongeza haya mambo 6 kwenye mikakati yako ya kuukabili 2024 kifedha na kimaendeleo

    1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri. Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine. 2: Boresha...
  3. Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi: Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen. ====== 🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister...
  4. D

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji pasipo kuchelewa ila Kuna wale ambao kutokana na sababu mbalimbali huchelewa kuendana na hatua za...
  5. Wanaotunza pesa ndani wachukuliwe hatua za kisheria

    Moja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu. Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani. Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale...
  6. Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

    Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao. Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka katika makazi yake ya kawaida huko Beirut kuelekea Uturuki. Netanyahu amewambia Mossad kuchukua hatua...
  7. Trafic amegoma kumchukulia hatua dreva wa lori la jeshi

    Hapa sokoni lori la jeshi limepaki kwenye ukingo wa zebra sehemu ya sisi waenda kwa miguu kuvukia. Kwa ufupi lori limebrok zebra na dreva yupo mle kapiga usingizi. Kwa hiyo nikamfuata trafic ili aje amshughulikie yule mwanajeshi kwa mujibu wa sheria maana waenda kwa miguu wanashindwa kupita...
  8. Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

    Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais. Nanukuu "Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
  9. S

    Refa aliewanyima goli Yanga kwenye mechi yake na Medeama, hawezi chukuliwa hatua?

    Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside? Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika? Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi? Huyu...
  10. R

    Ikiwa umechoka kuonewa daily, chukua hatua hii utanishukuru

    Salaam, Shalom. INTRODUCTION. Leo naongea na wale wote wanaoonewa katika nyanja mbalimbali,kiuchumi, AFYA,kisiasa,kimahusiano, kiimani nk nk. Yaani umeonewa na adui Yako amezoea kukuonea Hadi anakuja live kukutambia,anakwambia waziwazi katika eneo lako la KAZI, biashara, ardhi, KILIMO kuwa...
  11. Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu. Hoja yangu ni fupi. Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu. Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
  12. Yanga ichukuliwe hatua kwa uharibifu iliyofanya juzi uwanja wa Mkapa

    Juzi katika mechi ya Yanga vs Al Ahly uwanja wa Mkapa, mashabiki wa Yanga waling'oa viti na kuwarushia mashabiki waliokuwa wanaishangilia Al Ahly. Inteligensia yangu imeniambia kuwa mashabiki wa Yanga walifanya hivyo baada ya kuudhiwa na kitendo cha mashabiki wa Al Ahly kuwasha moshi uliosambaa...
  13. Syria imeanza hatua za mwanzo kujiunga katika vita kuipiga Israel

    Miongoni mwa mataifa muhimu katika ushirika wa kuiadhibu Israel ni Syria ambayo tangu vita vianze hapo Oktoba 7 walikuwa wako kimya. Kwa mara ya mwanzo leo wanamgambo walioko mashariki ya Israel na nyuma ya Jordan walirusha makombora machache kuelekea ndani ya Israel. Hakuna madhara...
  14. S

    Yanga atafika hatua ya robo fainali tena kwa kujihakikishia nafasi mapema kabisa

    Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi...
  15. A

    DOKEZO Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo kuna uonevu mkubwa kwa watumiaji wa Bima

    Mapema jana(Novemba 30, 2023), wagonjwa tuliokuja hapa hospitalini kutibiwa tulikutana na kadhia ya kutukanwa na muhudumu aliyekuwa chumba cha wagonjwa wa nje(OPD) wanaotibiwa kwa bima. Mhudumu huyo alituweka benchi tangu saa tatu asubuhi Hadi saa kumi na nusu jioni aliporudi akatuambia muda...
  16. Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  17. B

    Ajali za magari kugonga treni zinaongezeka. Wizara zinazohusika zichukue hatua

    Kwa utafiti wangu kiasi, kuna uelewa mdogo wa watumiaji wa vyombo vya usafiri wanapokaribia maeneo ambayo gari moshi hupita. Inawezekana baadhi yao hawana elimu ya mvutano wa vyombo vyao vinapokaribia gari moshi. Lakini pia Taasisi zote zinazohusika ikiwemo jeshi la polisi usalama barabarani...
  18. Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  19. Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua, ebu jaribu kuhama hilo eneo

    Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo haina maji ya kutosha na ukakua na kustawi. Kimantiki na kimaana 👇 Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo...
  20. S

    Nani mwenye ushahidi au mfano wa BOT kuchukua hatua kwa watu binafsi na Taasisi zinazoto mkopo bila kuzingatia sheria ya huduma ndogo xa fedha?

    HIili swala la mikopo uumiza mitaani na na kwa njia ya online, limegeuka kilio na maumivu kwa watu wengi na ushahidi ni kuongezeka kwa nyuzi(thread) kuhusu mikopo umiza hapa hspa JamiiForums. Malalamiko haya hayajaanza leo, jana wala juzi, bali ni ya muda mrefu na bahati nzuri serikali ikaja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…