Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
Je, tamko la Rais ni sheria? Kama ni sheria au lazima litekelezwe? Ikitokea halijatekelezwa au kufanyika kama alivoagiza inakuwaje?
Mimi ni mmoja kati ya wahanga waliokutana na tamko hilo halafu halikutekelezwa.
Binafsi ilikuwa hivi; mimi nilikuwa mshiriki wa baadhi ujenzi miradi ya Jamhuri...
Hii nimepenyezewa na watani zangu wa kigogo
Wananchi wa Dodoma wanataabika kupata maji kutoa mamlaka yao ambayo ni Duwasa, huku Duwasa wenyewe wakiwapelekea wauza maji wenye matenki chini ya ardhi ili wauze
Imekua ni kawaida kwa Duwasa kutoa ratiba ya maji ambayo hawaitekelezi. Ikifika Siku ya...
Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu...
"Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
Pot 1:
Al Ahly
Wydad AC
Espérance de Tunis
Mamelodi Sundowns
Pot 2:
CR Belouizdad
Pyramids
Simba
Petro de Luanda
Pot 3:
TP Mazembe
Al Hilal
Young Africans
ASEC Mimosas
Pot 4:
Étoile du Sahel
Jwaneng Galaxy
Nouadhibou
Medeama
NB:
1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila...
Nafikiri michezo yote itakuwa imekamilika, hivyo tupeane orodha ya timiu zilizofanikiwa kuingia hatua ya makundi na zaidi ni lini droo ya kupanga timu hizi kwenye makundi itafanyika.
Karibuni.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwachukulia hatua watumishi wote waliobainika kusababisha changamoto kwenye miradi inayotekelezwa Sumbawanga akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo Jacob Mtalitinya...
Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.
Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.
Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya...
Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana.
Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara
Mpaka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
Karibu wote tunajua kwamba huu ni uongo. Lakini ni wachache sana wanaojua kwa uhakika uongo huu ni nini, unafanyaje kazi na hawa watu wanapataje faida.
Ni kama vile ''ile pesa tuma kwa namba hii'' Wengi wanajua kabisa ule ni uongo, ila ni wachache sana ambao hata wanaelewa wale wahuni huwa...
Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto.
Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu au mpiga debe awe demu au men, nahisi kama nimefunga goli kwa offside.
Hivyo Nina kawaida ya...
Jobless wenzangu ,
Ninatambua kuwa maisha yanaweza kutuelemea wakati mwingine na kutufanya tuonekane kama tumekwama bila matumaini. Hata hivyo, natamani kuwahakikishia kwamba hata katika giza la usiku, kuna nuru ya kung'aa mwishoni mwa handaki.
Kwa wale wote ambao wamekata tamaa, napenda...
Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na huwezi kutaka kilakitu chake ukijue. Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli).
Sasa...
Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria
Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na...
Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua hiyo mwaka 1998, wao walikuwa na miaka mingi tu hawajafikia tena hatua hiyo.
Sasa watuambie , miaka...
Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda.
Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.