hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utachukua hatua gani ukikutana na mtoto kwenye barabara isiyo na watu kama hivi?

    Utachukua hatua gani hili likikutokea?
  2. Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

    Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati. Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
  3. Je, tamko la Rais ni sheria? Kama halijatekelezwa hatua gani huchukuliwa?

    Je, tamko la Rais ni sheria? Kama ni sheria au lazima litekelezwe? Ikitokea halijatekelezwa au kufanyika kama alivoagiza inakuwaje? Mimi ni mmoja kati ya wahanga waliokutana na tamko hilo halafu halikutekelezwa. Binafsi ilikuwa hivi; mimi nilikuwa mshiriki wa baadhi ujenzi miradi ya Jamhuri...
  4. Ulanguzi wa Maji Dodoma: Waziri wa Maji Chukua Hatua

    Hii nimepenyezewa na watani zangu wa kigogo Wananchi wa Dodoma wanataabika kupata maji kutoa mamlaka yao ambayo ni Duwasa, huku Duwasa wenyewe wakiwapelekea wauza maji wenye matenki chini ya ardhi ili wauze Imekua ni kawaida kwa Duwasa kutoa ratiba ya maji ambayo hawaitekelezi. Ikifika Siku ya...
  5. Marangu Coach imefikia hatua hii

    Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu...
  6. Hatua ya makundi ya CAFCL hakuna Zalan wala Marumo

    Ni vizuri tukakumbushana kuhusu jambo hili muhimu kabla muda haujafika.
  7. Mbunge Atupele Mwakibete amshukuru Rais Samia, asema Busokelo Sekta ya Afya Wamepiga Hatua Nzuri Sana

    "Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
  8. Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

    Pot 1: Al Ahly Wydad AC Espérance de Tunis Mamelodi Sundowns Pot 2: CR Belouizdad Pyramids Simba Petro de Luanda Pot 3: TP Mazembe Al Hilal Young Africans ASEC Mimosas Pot 4: Étoile du Sahel Jwaneng Galaxy Nouadhibou Medeama NB: 1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila...
  9. S

    Timu zilizofuzu hatua ya makundi CAFCL ni zipi?

    Nafikiri michezo yote itakuwa imekamilika, hivyo tupeane orodha ya timiu zilizofanikiwa kuingia hatua ya makundi na zaidi ni lini droo ya kupanga timu hizi kwenye makundi itafanyika. Karibuni.
  10. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sumbawanga kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwachukulia hatua watumishi wote waliobainika kusababisha changamoto kwenye miradi inayotekelezwa Sumbawanga akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo Jacob Mtalitinya...
  11. Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote. Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote. Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya...
  12. Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

    Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana. Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
  13. Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
  14. Kosa la nani? Nani achukue hatua?

    Karibu wote tunajua kwamba huu ni uongo. Lakini ni wachache sana wanaojua kwa uhakika uongo huu ni nini, unafanyaje kazi na hawa watu wanapataje faida. Ni kama vile ''ile pesa tuma kwa namba hii'' Wengi wanajua kabisa ule ni uongo, ila ni wachache sana ambao hata wanaelewa wale wahuni huwa...
  15. Sijawahi kudumu na mpenzi ambaye nimepigiwa debe na chawa wangu kumpata

    Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto. Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu au mpiga debe awe demu au men, nahisi kama nimefunga goli kwa offside. Hivyo Nina kawaida ya...
  16. T

    Jobless: Kila hatua dua

    Jobless wenzangu , Ninatambua kuwa maisha yanaweza kutuelemea wakati mwingine na kutufanya tuonekane kama tumekwama bila matumaini. Hata hivyo, natamani kuwahakikishia kwamba hata katika giza la usiku, kuna nuru ya kung'aa mwishoni mwa handaki. Kwa wale wote ambao wamekata tamaa, napenda...
  17. Ifikie hatua tuachiane nafasi

    Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na huwezi kutaka kilakitu chake ukijue. Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli). Sasa...
  18. Serikali imchukulie hatua kali za Kisheria huyu aliyemtesa Mtoto kwa staili hii

    Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na...
  19. S

    Baada ya Yanga kutinga makundi mwaka 1998, iliwachukua miaka mingapi Simba kutinga hatua ya makundi CAFCL?

    Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua hiyo mwaka 1998, wao walikuwa na miaka mingi tu hawajafikia tena hatua hiyo. Sasa watuambie , miaka...
  20. Hivi huyu waziri wa nishati anachukua hatua zozote kutatua mgao au anasubiria mvua?

    Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda. Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…