hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Nini kifanyike kuwahamasisha Wanawake kushiriki katika sekta ya Sayansi?

    Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kuadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM) Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na...
  2. Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...
  3. Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha. Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
  4. Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa?

    eti wakuu? Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa? Je mnajiona mkitoboa miezi 6 au tuwaache kwanza?
  5. M

    Kuna hatua hupigi kwa sababu kuna watu unawang'ang'ania, wapunguze

    KUNA HATUA HUPIGI KWA SABABU KUNA WATU UNAWANG'ANG'ANIA, WAACHE. Yawezekana ikawa ni kuoa/kuolewa umekuwa kwenye mahusiano na watu ambao kihaiba ni KATAA NDOA na wewe unaona ndio aina/type yako kumbe wanakuchelewesha tu Sio vibaya kujiuliza kwanini kila mahusiano yako hayazai ndoa? Shida ni...
  6. Kwa mujibu wa CCM Umasikini nchini utaisha lini na sasa tuko hatua gani?

    CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee. Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na ilani zao wao wamepanga kuumaliza umasikini lini? Katika mikakati yao sasa hivi tuko katikqti ya...
  7. T

    Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
  8. Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  9. Mwanamke yeyote ambae ni mke wa mtu anapoamua kuchepuka ni Ishara kuwa yuko kwenye hatua za Kufubaa

    Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka. Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae. Pang Fung Mi
  10. Mawazo 114 ya Biashara na mitaji yake: Hatua kwa Hatua: Jinsi ya Kuanzisha Biashara 114

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
  11. Kama Jamii ni hatua gani tunachukua kuhusu uozo ulioandikwa na Eric Kabendera

    Kwa wiki sasa nimekuwa ninasikiliza historia za viongozi madikteta Afrika. Nimesikiliza jinsi walivyoua na kunyanganya uhuru wa watu. Nimesikiliza kuhusu Samuel Doe, Iddi Amin Dada, Mobutu na madikteta wengi sana. Kwa kweli roho imeniuma sana viongozi wanaoaminika na kupewa madaraka na badala...
  12. Kila biashara yenye mafanikio hupitia hatua sahihi: Momsconsulting ni daraja Karibu tukupitishe hatua za mafanikio

    Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu? Usiogope, kwa maana sasa MOMS Consulting tunakusaidia katika kila hatua kuelekea mafanikio yako: Kuanzia usajili na...
  13. Tafakari! chukua hatua

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Jaribu kutafakari hili siku ya leo. Dunia ina maisha ya watu ya aina tatu tu. (Kundi A wazee wa tabu) 1. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa wanaenda kupata tabu tena, 2. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa wanaenda kupata raha. 3. Kuna...
  14. Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  15. Tathmini ya wapinzani watatu watarajiwa wa Simba hatua ya robo fainali CAF Shirikisho

    Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya Misri. Hii ni tathmini yangu fupi ya timu hizi tatu na aina ya upinzani ambao Simba iutegemee. AL...
  16. Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  17. TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  18. Mali waiga hatua za Magufuli VS Barrick

    https://www.reuters.com/markets/commodities/barrick-faces-fresh-restrictions-mali-signals-temporary-suspension-coming-weeks-2025-01-06/
  19. Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

    Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi. Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
  20. C

    Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…