hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  2. Transistor

    TANESCO wanakulipisha hadi taka za nishati ya nguvu ya umeme.....chukua hatua!

    Ukiwa unatumia vifaa vya umeme, haijalishi kama umeme unaotumia unaenda katika uzalishaji halisi au upotevu—vyote utavilipia. Hii ina maana kwamba Tanesco (kihalali) wanakulipisha: 1. Nguvu iliyotumika kukamilisha upatikanaji wa huduma yako, iwe mwanga, joto, kuwasha TV, n.k. 2. Nguvu...
  3. Braza Kede

    Hivi ni kweli tunapiga hatua kiuchumi au tunadanganyana tu?

    Hadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza vitu kama ivo yani kwa ufupi hivi vitu vya kuhitaji teknolojia rahisi kama ivo vijiti, masinki ya...
  4. G

    Unapodai risiti dukani na kupewa yenye kiasi pungufu kuliko hela uliyolipa unachukua hatua gani ?

    Dukani unaambiwa bidhaa ni kiasi flani na unalipia unawakumbusha risiti, wanakutolea yenye kiasi pungufu
  5. G

    Ni aibu kurudi kijijini kila mwaka hujapiga hatua, Ni lazima utarudi mjini na hasira ya kuzisaka noti, kwenye ukoo unadharaulika kama huna pesa

    Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!! Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
  6. L

    Pre GE2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda. Tena kama kwenye chama changu...
  7. kipara kipya

    Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

    Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa. Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
  8. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  9. Tunguja

    Shemeji mwizi & Mzinzi, anayependwa sana na mumewe. Je, ukigundua anataka kumtoroka ndugu yako, utachukua hatua gani?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa) Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
  10. markp

    Kiongozi yeyote anayedhani bila yeye chama hakiwezi kupiga hatua huyo hafai kabisa

    Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika hiyo taasisi. Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa watu kuwa viongozi anajua kuna kufa, kuugua...
  11. Nyumba Nafuuu

    Mwaka Usiishie Bila Kuanza Ujenzi Japo Hatua Moja - Vijumba vya Tofali na Bati Chache

    Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi) Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
  12. The Whistleblower

    Rais Samia, atekwe nani ndo uchukue hatua?

    Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida. Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta. Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe au apotee ndo uchukue hatua nzito kama mkuu wa nchi"?. Kama vyombo vya Dola ndani ya nchi vimeshindwa...
  13. TZ-1

    Hatua ya msingi imeisha naomba tathimini

    Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 . Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz , Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez...
  14. Mindyou

    Rais Samia aipandisha hadhi wilaya Rufiji kwenda kwenye hatua ya kuwa Mji

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
  15. Waufukweni

    Mamlaka zifuatilie Daladala zinazohatarisha usalama wa Abiria kwa uendeshaji mbovu na Askari hawachukui hatua

    Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata waliopo nje. Dereva wa daladala hiyo amekuwa akiendesha ovyo kwa kutojali Sheria za Barabarani kiasi...
  16. S

    Serikali ichukue hatua kwa wakuu wa idara na taasisi za umma waliokacha sherehe za Uhuru kiwilaya, hao ndio wapinzani ndani ya serikali

    Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
  17. maroon7

    SGR inahujumiwa au ni uzembe tu unaotokana na watu kutochukuliwa hatua?

    Wanabodi (kwa sauti ya paskali), Leo tarehe 4 nimefanya uzinduzi wa kupanda treni yetu pendwa ya SGR. Kwa bahati mbaya leo asubuhi kulikua na shida kwenye gridi ya taifa hivyo kujikuta treni karibu zote kuchelewa kwa angalau saa moja, na vyombo vyote vya habari vilitangaza. Baadae umeme...
  18. A

    KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  19. Inside10

    LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  20. Rorscharch

    Jinsi ya Kuangamiza/kuharibu Maisha Yako kwa Hatua 15 Rahisi

    Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya. Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati Chagua kufanya vitu rahisi. Acha mambo magumu kwa baadaye. Kwa kuwa kila wakati ni "sasa," utaepuka...
Back
Top Bottom