Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.
Habari!
Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi).
Kwa muktadha ule, wale vijana walifanya unyama sana kwa yule binti tena wakaona wamrekodi na kurusha katika mitandao...
Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti?
Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
Barack Obama aliwahi kusema hivi:
"The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope."
Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua bila kumpendelea wala kumuonea yeyote atakayehusika kukwepa kodi au kwa Afisa atakayeonesha kukosa uadilifu kwenye majukumu yake, amesema hayo Julai 15, 2024 wakati akizungumza na...
Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa jamii. Kwa hiyo, tukiwa kama watu wazima, ni jukumu letu kuwaongoza katika mwelekeo sahihi. Pia ni...
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine
Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa
Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda
Britanicca
Hatua za kufa au kufariki
Kila kiumbe kitakufa.
Mwanadamu naye atakufa.
Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa.
Hakuna dawa ya kutokufa.
Ila zipo njia za kupunguza kufa mapema.
Kupiga kelele sana kunakafanya uzeeke mapema na kufa mapema.
Kushangilia sana kunakufanya...
Utangulizi.
Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi.
Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
WAKUU
Tusifanye masikhara huu mchezo unaofanyika pale Kawe na kule Kimara Temboni, haufai na hauna ustawi kwa afya ya Taifa letu. Na huwa ni nashangaa sana @Wizara Mambo ya ndani, wanalea na kutetea huu ujuha kwenye Taifa linalohitaji jitihada za ziada kujikwamua ili Wananchi wake waweze...
HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA
1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO 1) PIA TULIONGEZA UKUBWA WA CLOSET YA MASTER NA CHOO MAANA ALIVIRUKA
2. TUKAANZA KUINUA UKUTA...
Watanzania tunapopatwa na changamoto fulani, wengi wetu huishia kulalamika tu, badala ya kuchukua hatua. Hali hii imefanya watesi wetu kuzidi kutuonea Kwa sababu hata wao wanajua Kuwa hatutochukua hatua yoyote ile zaidi ya kuishia kulalamika. Jambo hili hupelekea kutokuwajibika. Na kadri mtazamo...
WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA
-Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari
-Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni
-Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024
Juni 29, 2024
Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku)
Germany Vs Denmark (4:00 Usiku)
Juni 30, 2024
England Vs Slovakia (1:00 Usiku)
Uhispania Vs Georgia (4:00 Usiku)
Julai 1, 2024
Ufaransa Vs Belgium (1:00 Usiku)
Ureno Vs Slovenia (4:00 Usiku)
Julai 2...
Matumizi ya mitandao ya kijamii sasa yanaongezeka kwa kasi Duniani na kufanya kila mtu kuwa rahisi kuwasilina na kujua vitu vinavyoendelea Duniani.
Takwimu zinaonesha kuwa watu bilioni 4.7 kote ulimwenguni wanatumia mitandao ya kijamii ambapo ni sawa na asilimia 59 ya watumiaji.
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.