Hi!
Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo.
Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani.
Furaha ya wananchi ilikuwa kusikia kiongozi ametumbuliwa, wananchi waliaminishwa pesa zao zilikuwa zimeibwa na viongozi mafisadi na...