Asalam aleykum
Kama kichwa hapo juu kinavyo jieleza makabila mengi ya kibantu katika utamkaji wao wa maneno huwa hawatamki r. na kiswahili kina msingi wa kibantu watu wengi hawaji hili na wamekuwa wakilaumiwa na kusemwa hasa watu wa daresalaam kuwa hawajui kutofautisha kati ya r na l...