Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la sahara, sijaona.
Hapa Tanzania ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana...