Nimeona Misungwi mkoani Mwanza na Geita Vijijini mkoani Geita!
Akiwa amebeba mizigo, anapigwa!
Akiwa analimishwa, anapigwa!
Akiwa anakokota mkokoteni, bado anapigwa!
Ni kama vile "lugha" pekee wanayoijua ni kipigo!
Utakuta wengine migongoni mwao kuna michubuko iliyotokana na ama kubebeshwa...