hawapendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  2. saidoo25

    Kwanini Mawaziri Wazanzibar hawapendi kusema uongo?

    Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali inayatambua. Lakini alipokuja Mwigulu Nchemba kuongezea majibu ya Naibu Waziri wake akasema mashauri...
  3. BARD AI

    Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  4. sky soldier

    Kwanini Wapare ni wabahili wa kutunza pesa lakini pesa wanayoibana hawapendi kuiwekeza izae zaidi?

    Mpare anaweza kutunza hela lakini kinachomshinda ni kwenye kutoa hela kuwekeza. Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia. Wapare wengi ukikuta wana maendeleo labda ni kupitia ajira kwenye mishahara ama upigaji, ni nadra sana kuwakuta wameumiza...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mbunge wa Igalula Venant Daudi Protas, wananchi hawapendi kupewa vitisho

    Ni ukweli mtupu kwamba wananchi ndiyo waliokuajiri. Huwezi kuwatisha na kuwakemea kwenye mikutano yako pale wanapoibuka na hoja zenye mashiko! Jibu hoja za wananchi acha kuwatishia eti utawaweka rumande! Kama huna uwezo wa kujibu hoja za wananchi usifanye mikutano, simple tu! Tunajua umeamua...
  6. Nobunaga

    Kama kawaida ya madaktari, huwa hawapendi kuguswa

    Lile sakata la kufutwa gharama za kuonwa/kuhudumiwa hospitali na wahudumu linazidi kuchanja mbuga. Kwanza tuwekane sawa hapa, haiitwi gharama ya kumuona daktari, inaitwa "Consultation Fee" ikimaanisha "Gharama ya Kuhudumiwa" kwa maana utapita mikono ya wataalamu kadhaa siyo daktari tuu. Baraza...
  7. lee Vladimir cleef

    Ukweli mchungu ambao Pro NATO Huwa hawapendi kuusikia

    Urusi kushindwa kutawala anga la Ukraine. memba mmoja wa JF T14 Armata,hupenda sana kuelezea swala hili la kumiliki anga. Yeye hupenda kusema Urusi haitumii mtindo wa kumiliki anga kama vile ifanyavyo USA. Yeye huona kama huo ni udhaifu kwa Urusi na uwezo kwa USA. Lakini Mimi Nina maoni tofauti...
  8. Teko Modise

    Kwanini wadada wengi hawapendi Basketball?

    Ni mchezo mzuri sana ukiujua... ni muda sasa wa kujifunza na kuanza kuucheza.
  9. GENTAMYCINE

    Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  10. Jokajeusi

    Ameni-block kisa nimemwambia anachogo

    Mpo wana MMU. Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile. Sikumsema kwa nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi...
  11. Lycaon pictus

    Kutangaza utalii kuendane na kujenga miji ya kitalii. Watalii hawapendi miji michafu.

    Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk Tungerekebisha miji yetu ya...
  12. dubu

    Mapinduzi Afrika: Wananchi wengi wanapenda Utawala wa Kidemokrasia kuliko wa Kijeshi, hawapendi Mapinduzi

    Afrika imekumbwa na msururu wa mapinduzi ambayo yanatishia kuirudisha nyuma miaka ya 1980 na enzi za utawala wa kijeshi. Burkina Faso, Chad, Guinea, Sudan na Mali zote zimeshuhudia serikali ikipinduliwa na nafasi yake kuchukuliwa na jeshi. Hali inaweza kuwa ya kutisha zaidi, kwa sababu...
  13. sky soldier

    Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
  14. Tajiri Tanzanite

    Kwa nini wanawake wa kiafrika hawapendi nywele zao?

    Hapo vip! Nimejiuliza sana hili swali muda mrefu, miaka na miaka ila nimekosa jibu sahihi. Wanawake wengi wa kiafrika wameamua kukana na kukataa asili yao na kuidharau kabisa tofauti na wanaume..nikimaanisha wapo tayari kununua nywele za bandia hata za marehemu wa kizungu wavae...
  15. Equation x

    Wanawake wengi hawapendi, bali wanatafuta 'sponsor' kwa kigezo cha mahusiano

    Nimepata uzoefu huu, kupitia mazingira mbalimbali ya kimahusiano. Kila niliyekuwa nakutana naye, awe ameajiriwa, amejiajiri, yuko chuo, au hana ajira; wote wanaomba fedha za matumizi pamoja na gharama za kuendesha maisha yao. Unaweza kushangaa mtu ameajiriwa au amejiajiri na ana kipato kizuri...
  16. M

    Spika Ndugai hamia CHADEMA, CCM kuna udikteta na hawapendi kukosolewa

    Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani? Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo. Wewe unasimamia Bunge na linatakiwa kuwa imara ili kuisimamia serikali. Sio Bunge linalodharaulika kama Prof Assad...
  17. GENTAMYCINE

    Waziri Simbachawene, kama umekiri Wasomi hawawezi na hawapendi kushika Silaha, kwanini huwa mnawalazimisha waende Mafunzo ya JKT?

    Wakati GENTAMYCINE nikisubiri Jibu lako Waziri Simbachawene nitoe tu Ushauri wa bure kwa Viongozi na Watu maarufu nchini hebu ajirini Wasemaji wenu ili wawe wanawafichia Mapungufu yenu ya Kiuwasilishaji kwa kuna Kauli zingine huwa mnazitoa na kutupa hata Mashaka kama kweli mlipita Shuleni na...
Back
Top Bottom