Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia.
Wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa...
Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu.
Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma
Soo jana, Rais Samia Suluhu alisema kwamba zamani muafaka katika siasa ulikuwa unafikiwa kwa kutumia ncha ya upanga lakni hivi sasa muafaka unatumiwa kwa ncha ya ULIMI.
Alichokuwa anamaanisha ni kwamba zamani watu walitumia vitisho, mapigano na vita kupata walichokitaka, lakini hivi sasa watu...
Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu.
Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema.
Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu kupitia nguvu ya umma.
Hata wakikaribishwa ili kujumuika na wanasiasa wenzao ili kuonyesha mshikamano...
Kabla nawe hujageuka mchawi, tazama video niliyokuwekea halafu usiwe mgumu wa kuelewa.
Aliyeruhusiwa kuota tena ni binti wa Kitanzania, popote pale alipo. Nazungumzia binti yeyote ambaye sasa ameruhusiwa kurudi shule (Kuota tena) kupambania ndoto yake baada ya kukukosea na kupata ujauzito...
Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano...
Wadau,
Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban 52,000+ ndani ya masaa 24 ambacho ni kiwango kikubwa ukilinganisha na waves zilizopita huko nyuma...
Wakuu habari,
Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo. Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi nieleweke.
Mimi nimebahatika kusoma systematically kama ilivyo mfumo wa elimu wa Tanzania, yani kuanzia std7, f4, f6 mwisho chuo kikuu.
Sasa kipindi nimemaliza f4 wakati nasubiri matokeo...
Katika sehemu mbali mbali nimeona wazanzibar weusi na machotara wakikataa asili yao ya kutokea huku bara, sasa sijajua wanaukataa ukweli kwanini.
Hapo zamani wafanya biashara wa watumwa walifika visiwa vya zanzibar na kulikuwa na watu wenye asili ya kibantu wachache kwenye visiwa hivyo, hawa...
Wasalaam,
Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia ikiwemo kauli za kibaguzi dhidi ya wanaume.
Mh Samia hajaongelea hali ya demokrasia hapa tanganyika...
Four days after the Electronic and Postal Communication Act (CAP 306) came into effect, the Tanzania Mobile Network Operators Association (Tamnoa) has said the business has dropped drastically, therefore asking government to amend the new charges.
In efforts to raise its revenue collections by...
Nimepita maeneo haya na kufanya mahojiano na wakazi kadhaa wa hapa, wanasema wangependa jina asilia la maeneo hayo ndio liwe jina la daraja ili kulinda uasili.
Wanapendekeza daraja liitwe KIGONGO BUSISI
Wazee wa busara wanawasha moto hatari, kuna kikao kipo underway hapo utopoloni wale wazee ambao juzi walisema hawatapeleka team uwanjani kucheza na simba hawataki kusikia lolote kuhusu mabadiliko ya uendeshaji wa team hiyo.
Binafsi nawaunga mkono sana, Yanga ni team ya wananchi inakuwaje iwekwe...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Licha ya waziri wa nishati kuelekeza kuwa wananchi waunganishiwe umeme kwa 27,000 tanesco Dodoma bado wamekaidi agizo hili. Wameamua kuwaunganisha wateja wenye nguzo karibu na nyumba zao huku wengine wakiambiwa walipie gharama za kuwasogezea nguzo karibu...
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza...
Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge.
Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti?
Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti...
Habari!
CWT = Chama cha Walimu Tanzania, Press yao imenishangaza sana eti hawaungi kuwepo kwa bodi ya kitaaluma ya Walimu (Teachers' professional board). Tena kwa madai kuwa walimu watabebeshwa mzigo mkubwa wa makato ya tsh.50000/= kwa mwaka yakihusisha lesseni ya ufundishaji, semina kwa walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.