haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Nani anagharamia haya matamasha na festival? Kama tumeanza matamasha 2024 hadi tufike 2025 Oktoba tutatumia trilioni ngapi za umma?

    Natambua joto la uchaguzi limepanda sana huku maisha ya wananchi yakizidi kuwa magumu. Natambua wazi kwamba njia sahihi ya kumpumbaza maskini nikumpa pombe na chakula. Natambua pia kwamba pombe na chakula cha siku moja siyo tiba yakudumu ya maskini bali tiba yakudumu nikumpa fursa za...
  2. Siku ukipendwa utayaona haya

    Leo wacha tuamke na hii, Mwanamke akikupenda, atapambana kwa nguvu zote ili akupate, wanambinu kali ya kumpata mwanaume kuliko hata wanaume walivyo na uwezo wa kutongoza Mwanamke. Hatokuonyesha greenlights pekee lazima atafanya ata mawasiliano yawe ya hisia sana juu yako bila hata aibu...
  3. Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

    Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje? Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe? Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani.. Mabus yanafanana na...
  4. Just imagine haya mambo yangetokea kwa hili Kanisa Katoliki

    Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta? Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38) Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu...
  5. Vikwazo dhidi ya Urusi vyazidi kuichakaza EU. This time

    Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na usawa katika biashara (unfair competition) kwa kuwa na advantage ya kuendelea kupitisha ndege zao katika...
  6. Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

    Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo. Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania Nikiwa viunga vya huko niliona Nami nisiishie tu kuuona bila kupanda. Nikiwa na rafiki yangu mmsai tuliazimia kupanda kihuni (Bila kibali)...
  7. M

    Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

    Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.
  8. Tunza Afya yako kwa kuzingatia haya

    👉 AFYA NI TUNU👈 ❗CHUKUA NA HII👇👇👇👇 🔞walau mara 2 kwa wiki uwe unafanya hako kamchezo hapo😀usikubali vitunguu na nyanya ziharibike hata siku 1❗ 🌹🌹Faida zake🌹🌹 🧅🧅🧅FAIDA ZA KITUNGUU MAJI🧅🧅🧅 🌺🌺kuuwa bacteria 🌺🌺 dawa ya vidonda 🌺🌺dawa ya upere 🌺🌺dawa ya Maumivu kwenye ngozi 🌺🌺dawa ya kifua...
  9. EAMWS Isingepigwa Marufuku Haya Yasingewezekana

    EAMWS ISINGEPIGWA MARUFUKU HAYA YASINGEWEZEKANA Laiti EAMWS isingepigwa marufuku na serikali mwaka wa 1968 kuwa ni jumuiya haramu na Chuo Kikuu kikajengwa hayo utakayosoma hapo chini yasingewezekana kutokea wala kuwapo. Mizani ingekuwa sawasawa baina ya waumini wa pande zote mbili. Allah...
  10. Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

    @divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano. Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa. Ameyazungumza...
  11. T

    KERO Hivi haya mateso ya kujaza gasi kwenye magari yanamnufaisha nani!? Sio figisu za wauza mafuta kweli!?

    Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu. Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
  12. Mh kwelii umeenda chumban haya bana uwiiiiii

    Jamani jamani kweliii kabisaaaa Honorable Live Mh.. Hayabana wacha ninywe bia tuy
  13. Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  14. Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  15. Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

    Initially I was low-key loving it. Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them]. As a matter of principle, I don’t countenance it. But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it. Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu...
  16. Leo Zingatia Haya Wakati wa Kuchaguana Ili Kupunguza Kero na Taabu.

    Salaam kwa wafuatiliaji wa jukwaa la MMU. Ukiwa umetulia unasoma huu uzi basi jaribu kuweka akilini mambo machache muhimu wewe kijana wa kiume au kike unayetafuta mwenza sahihi na upo kwenye fungu la kupata mahusiano yenye furaha. Vijana wa Kiume Zingatieni haya hapa wakati unatafuta she wa...
  17. Pamoja na katiba kutoa kinga, kama haya yalitokea kwa National Audit Office, si kuwa yanatokea kwenye NEC pia?

    Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna uchaguzi, je, NEC, yaani Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo kikatiba ni huru na haiingiliwi na mamlaka...
  18. Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  19. nachukizwa na maswali haya

    mtu kaja pm ana anza unaitwa nani? umri wako? unajishughulisha na nini? elimu yako? makazi yako? nakereka
  20. CHADEMA haya maandamano kafanyieni Moshi.

    Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi. Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…