haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

    Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise... Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali... Zaidi sana, tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka...
  2. A

    Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

    Kwa heshima Nawaamkia; Huyu ni binti amehitimu form 4... Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo; Kiswahili C Kiingereza C Uraia C History D Biology C Chemistry F Maths F Fasihi D Geography D Karibuni kwa ushauri
  3. Yoda

    Haya ni mafanikio yenye kuhitaji shamrashamra?

    Huwa naona watu wanapongezwa, wanapongezana au hata kumshukuru Mungu kwa shukrani zote kwa: 1. Kupanda ndege 2. Kuonekana kwenye TV 3. Kufika nchi ya nje na Tanzania 4. Kupata likes au re-tweet ya mtu maarufu 5. Kupiga picha au kukutana na mtu mkubwa au maarufu. Je, haya ni mafanikio...
  4. enzo1988

    Mwanariadha Uganda achomwa moto na mpenzi wake Mkenya, aungua kwa zaidi ya 75% ya mwili wake

    Kwani kuukubali ukweli kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho ni huwa ni ngumu?? Huu ukatili wote wa nini? Halafu wote wanaujiuguza majeraha! Ugandan athlete in hospital after Kenya petrol attack Ugandan athlete Rebecca Cheptegei is in a critical condition in a Kenyan hospital, after allegedly...
  5. L

    Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli. Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna...
  6. feyzal

    Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

    Kwakweli serikali ndo maana inabweteka haipati presha maana wananchi wengi ni vihiyo. Hebu angalia maoni haya ya wananchi.😁😁😁😁
  7. L

    Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

    Ndugu zangu watanzania, Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu...
  8. Mr Dudumizi

    Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
  9. JEJUTz

    Maisha haya

    Ugumu WA maisha unafanya tuonekane hatuna mapenzi ya kweli
  10. Faana

    Nini Sababu ya Mawe Haya Kanda ya Ziwa Kutoanguka

  11. Msanii

    Pre GE2025 Haya maandamano yanayoanza kushamiri ni dalili njema kwa afya ya nchi

    Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
  12. ngara23

    Fanya haya kuepuka kutekwa na kupotezwa na wasiojulikana

    Watu wanapotea miaka Sasa hawajulikani walipo 1. Epuka ukosoaji wa viongozi wa juu, hao hawataki kukoselewa, wapo pale kutawala, hawataki ukosoaji na ujuaji utapotezwa Mbele ya watu watajifanya wapo tayari kukoselewa ila kiuhalisia hawataki, utapotezwa. 2. Kuwa mtu wa haki Kwa wengine...
  13. Yoda

    Haya maneno magumu kutoka kwa aliyewahi kuwa Rais wa Ufaransa ni ya kibaguzi?

    Haya maneno yaliyowahi kutamkwa na Sarkozy, rais wa Ufaransa kabla ya Macron. Aliyasema katika hotuba yake alipotembelea Africa kwa mara ya kwanza katika chuo kikuu cha Dakar, Senegal mwaka 2007 Maneno yenyewe yaliyolalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi sana ni haya, "The tragedy of Africa is that...
  14. Tlaatlaah

    Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

    Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa.. Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne, ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia.. Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu...
  15. R

    Matokeo ya kuwa Aggressive Supreme of Power ndiyo haya tunayoyaona

    Kuteka, kuua, kupoteza watu na atrocities zote tunazoziona leo ni watu kutaka ku consolidate power na matokeo yake ni haya ya kukiuka haki za binadamu!
  16. D

    Kwa haya anayoyafanya Samia kijijini Kizimkazi hayana tofauti na aliyokuwa akifanya Magufuli Chato

    Kwanza yeye ni Rais wa JMT kila mara yuko Zanzibar kuzindua miradi. Kijiji kidogo hicho mapesa yote ndani ya miaka 3 hela ililipelekwa pale ni nyingi sana. Hii ni kwanza ni aibu na kashfa kwa Rais wa nchi nzima. Tabia hii alianza Magufuli, kabla ya hapo huu ubaguzi usio na haya haukuwepo...
  17. R

    Kwa haya yanayotendeka ya mauaji ya watanganyika kwa kuwateka, sababu ya katiba ya UFALME, aliyoiacha Nyerere, siyo baba wa Taifa na si mtakatifu

    Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita! Rais-Mfalme quotes Tangu angalau tuwe Jamhuri mwaka 1962, Rais wa nchi yetu amekuwa na mamlaka makubwa...
  18. Morning_star

    Kizazi cha ovyo tulichonacho ni matokeo ya malezi haya!

    Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
  19. M

    Utakuwa unakatiwa simu mara nyingi, usipozingatia haya unapopiga simu kwa wateja (kwenye sales)

    Imekuwa kawaida kwa watu wa call center Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu. Tunajua sales is a game of number sio? How many calls you make per day, give you reflections to your sales volume. Kama hujui haya mambo...
  20. B

    Ukiwa Kama Mtanzania mwenye akili timamu unakubaliana na haya yanayoendelea?

    Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi. Leo...
Back
Top Bottom