Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,670
Haya ni matukio 10 yaliyowahi kutokea na kutikisa nchi tangu.Hayo ndo matukio ambayo sio rahisi kufutika na kusahaulika vichwani mwa watanzania walio wengi. yapo kwa mpangilio kuanzia namba 10 mpaka namba 1. kama kuna tukio lingine limesaulika ongezea.
10•••1982: Ndege ya Air Tanzania ilitekwa na kupelekwa uingereza, na vijana machachari wa Tanzania. Ni moja la tukio ambalo liliwashangaza watu wengi sana
9•••1962: Mwalimu Nyerere kutangaza kujiuzuru uwaziri mkuu wakati ameijenga Tanganyika kwa heshima kubwa sana, wengi walishtushwa na kushangaa sana kumbe alikuwa na malengo yake.
8•••1995: Uchaguzi wa Vyama vingi kwa mara ya kwanza Tanzania. Hii ilikuwa kila mtu anatamani kuona jinsi hali itakavyokuwa kwani haikuwahi kutokea kitu kama hicho kabla.
7•••1964 : Kubadili jina la nchi kutoka Tanganyika na kuwa Tanzania kutokana na muunganiko na Zanzibar. Ni tukio ambalo lilichukua attention ya watu wengi mno kuanzia ndani mpaka nje ya nchi.
6•••1978: Vita kati yetu na Uganda, ni tukio la kwanza kwenye sekta ya mapigano nchini ambayo mwisho wa siku iliacha matatizo makubwa sana,
5•••1964 : Mapinduzi makubwa ya mfumo ndani ya jeshi , mwalimu nyerere karibia alifukuza jeshi zima na recruitment ikaanza upya chini ya jeshi la waingereza,
4•••fisadi 3 kubwa nchini za EPA( 2005), RICHMOND (2008) na ESCROW (2014) ambazo zimeacha funzo kubwa sana kwa watanzania wengi.
3•••1996: Ajali ya Mv Bukoba, hakika hii ni historia isiyofutika, iliua maelfu ya ndugu zetu.
2•••1999: Kifo cha mwanzilishi wa Taifa ili Mwalimu Julius kambarage Nyerere huko London, hiyo siku kila mtanzania alikuwa kama kapatwa na ganzi mwilini.
1••• 29 OCTOBER 2025: mauaji makubwa ya wananchi siku ya uchaguzi mkuu nchini, yaliyoacha majonzi na maumivu makubwa kwa raia