Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea na utekaji wanazidi kuchochea moto kwenye jamii?
Swali kwa DGIS mombo wewe na IGP wambura mnaamini katika utekaji ni njia ya kuliponya taifa wakati huu mambo yameshaharibika?
Mjiulize tangu mmetengeneza hizo taskforce je zimeleta matunda gani kwenye jamii , makosa hayohayo bado mnaendelea. Kuyafanya.
Kwasasa kunyamazisha watu ni vigumu tafuteni njia bora za kutatua matatizo ambayo jamii inahitaji serikali iyafanye zaidi ya kamatakamata/ utekaji unaoendelea.
Ni ushauli tu nimewapa mkono. Wa chuma siyo suluhishi ya matatizo yaliyopo hivi sasa.