Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha.

Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie.

Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili kulinda shutuma zake.

Sasa mliopo kipindi haya yote ndio mtakacho fanyiwa.
 
Mjuba utaua watu kwa kihoro, sasa wangefanyaje bila kukaidi amri ya mkubwa? Ndio kazi zenyewe zilivyo, hakuna namna ya kukataa, die or live
 
Back
Top Bottom