Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati.
Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana.
Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro wanao kutana bar na mikusanyiko ya ajabu.
Vijana si mna watu mliosoma nao,zipo nyumba za ibada,zipo sehemu ambazo salama ulipo mkafahamiana ila sio hizi media.
Any way maisha sio kumpangia mtu.