Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Ukifika muda wa jioni China Guangzhou ndio unakuwa muda wa wamachinga ili kuondoa msongamano na wenye maduka ila pale Kariakoo hakuna ilo.
Kizuri pale Guangzhou ndio muda ambao wajasiliamali wadogo hususani wauza vyakula unawakuta wengi wakiwa na mabanda yao.
Kinachonifurahisha kila mtu ana chakula chake sio hapa mtaa mzima wanauza wali nyama ya mchuzi.
Tuje jiji lenye kumchanganya mchumba ambalo kila mkongo anataka kuishi huko ni Paris.
Maduka ya kule wanajua kujitofautisha kwanza nguo wanazoziuza na migahawa pia.
Sio huku Vunja bei nguo zake hazijulikani ili mradi tu.
Naijeria kuwa na watu wengi ila wale wametuzidi sana kwa kubuni biashara kuwa tofauti mfano migahawa.