Haya ni maajabu!! Rais anashinda ndani kama utumbo?!!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.

Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana, utamfanya Samuya akosane na hao watoto.

Hivi sasa huyu ni rais wa nafsi yake tu, maana ndiyo haitilii shaka. Huyo mume wake ndiyo kabisaa , nadhani hata haonani naye tena.

Maisha haya bwana! Bora kuwa raia kuliko kuwa rais feki, anaejifungia ndani kama utumbo.
 
Samuya mejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.

1766983567688.jpg
 
Maishaaa yenda mbioo sanaaaa
 
MAMA KASHAJUA MNATAFUTA POINT. KAZI YA KUSEMA SERA ZENU HAMNA . MNATAFUTA KIKI KWA PIKIPIKI . MAMA HATOI TREND TENA . PAMBANENI , NCHI INASONGA MBELE. MWAKANI HELA ZA MZEE FORD MTAZITAPIKA VIBARAKA WOTE
 
HAWANA AJENDA MPYA , SAFARI HII MAMA WA AFRICA KAMA ANAVYOTAMBULIKA DUNIANI DR SAMIA SULUHU HASSAN HANA DENI NA NCHI IMESIMAMA
 
HAWANA AJENDA MPYA , SAFARI HII MAMA WA AFRICA KAMA ANAVYOTAMBULIKA DUNIANI DR SAMIA SULUHU HASSAN HANA DENI NA
ASIYEFUNZWA NA ***** , HUFUNZWA NA WALIMWENGU. WATU WAMEMISS BAKORA ZA MAMA SAMIA . AMA KWELI MAMA KATUFUNZA ADABU NA SASA TUNAMMISS MAMA YETU. MAMA SAMIA KULA SIKUKUU SALAMA . ENJOY MSIMU HUU NA FAMILIA YAKO . KAZI INAONEKANIKA . TEKELEZA ILANI MAMA YETU. SIKU ZINASOGEA
 
RAHA SANA MAMA YETU ABARIKIWE SANA
 
Samuya mejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.

Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana, utamfanya Samuya akosane na hao watoto.

Hivi sasa huyu ni rais wa nafsi yake tu, maana ndiyo haitilii shaka. Huyo mume wake ndiyo kabisaa , nadhani hata haonani naye tena.

Maisha haya bwana! Bora kuwa raia kuliko kuwa rais feki, anaejifungia ndani kama utumbo.
Na abaki hukohuko hatumtaki
 
ROSTAM AZIZI NA WAZANZIBARI WAMEMTUMIA KIJINGA SANA HUYU SAMUYA TU STUPID
 
Back
Top Bottom