Newton's third law of motion state that: For every action there is an equal and an opposite reaction.Hii inamaanisha kitendo alichokifanya Samia tarehe 29/10/2025 Cha kuwaua hovyo wapigania haki na kuziacha familia za wahanga kubaki na maumivu na msongo wa mawazo ndivyo Hivyo hivyo na yeye ataumia hadi mwisho wa maisha yake