- Thread starter
- #61
Samia ndiye mtuhumiwa na.1.Mo29 to 03rd Nov Massacre ni hatari ,haipaswi kujirudia na waliohusika wote wachukuliwe hatua.
Samia ndiye mtuhumiwa na.1.Mo29 to 03rd Nov Massacre ni hatari ,haipaswi kujirudia na waliohusika wote wachukuliwe hatua.
Huyo ICC inamuhusu sana ,hawezi kukwepa ni swala la muda tu.Samia ndiye mtuhumiwa na.1.
Sawa basha wa Abdul. TumekuelewaManyumbu kwenye delusional state.Mtapiga majungu na umbeya hakuna kitachobadilika.Poor morons.
Mbwa wa Samuya wanaohangaika wakati mwenyewe katulia zake Mkunazini anakunwa na mkunaji wakeJitahidi uwe na kazi za kufanya na sio kupenda kuona ona tu watu kila mara.
Utasubiri sana ..Mungu hafanyi kazi kwa matakwa yako ama amri yako ..Amen, na iwe haraka
Mtuhumiwa huyo, yumo gerezani huyo...Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.
Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana, utamfanya Samuya akosane na hao watoto.
Hivi sasa huyu ni rais wa nafsi yake tu, maana ndiyo haitilii shaka. Huyo mume wake ndiyo kabisaa , nadhani hata haonani naye tena.
Maisha haya bwana! Bora kuwa raia kuliko kuwa rais feki, anaejifungia ndani kama utumbo.
Anafanya kazi kwa matakO yake, siyo?Utasubiri sana ..Mungu hafanyi kazi kwa matakwa yako ama amri yako ..
Itakuwa ya nani sasa?
Mungu hanaga unasaba na muovu, kuna siku atamuumbua tu. Ataanguka hadharani.Mtuhumiwa huyo, yumo gerezani huyo...
She's in a penitentiary room, a room for the convicted...
Yumo kwenye matibabu ya ugonjwa wa ukichaa na kuchanganyikiwa (sonona)...
Mkizidi sana kusemasema, anatengenezewa tukio litakalomfanya atoke nje ili mumuone...
Kutoka kwake, lazima huwa akula sindano za kutosha za kumfanya awe stable ingalau kwa masaa kati ya 2 - 5 na baada ya hapo anarudishwa penitentiary room kuwa chini ya uangalizi maalumu...
Aliyataka mwenyewe, sasa kayapata...
J.K aliuwa watu wasio na hatia? Atatembea kwenda inchi gani na ameshachafuka hana tena heshima ya utu kiraia?🤔Nongwa zinawatesa wabongo, JK alipozurura dunia nzima mkamuita Vasco Da Gama.
Ukifika muda atakwenda tu huko ughaibuni.
Huenda ni ya Yule mzimbabwe wa YangaItakuwa ya nani sasa?
Ukiona hivyo watu wanataka atoke ndipo waache kumsakama.Akiongea shida...
Akikaa kimya shida...
Akitumia magari kero..
Akitumia ndege gharama..
Akitembea kwa miguu maneno
MNATAKA NINI HASA MBONA KAMA HAMUELEWEKI
Tunataka kati ya haya matatu yafanyike....Akiongea shida...
Akikaa kimya shida...
Akitumia magari kero..
Akitumia ndege gharama..
Akitembea kwa miguu maneno
MNATAKA NINI HASA MBONA KAMA HAMUELEWEKIA
“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke,Utasubiri sana ..Mungu hafanyi kazi kwa matakwa yako ama amri yako ..
Akitumia magari kero..
Akitumia ndege gharama..
Akitembea kwa miguu maneno
MNATAKA NINI HASA MBONA KAMA HAMUELEWEKI
ASAP 🕊️Ukifika muda atakwenda tu huko ughaibuni.
Yaani wajilipue au ?. ni watu gani Gen z auZa ndani kabisa tarehe 27/12 kuna watu walitaka wajitoe mhanga magogoni, kwahi hata rais hayupo hapo...