Tunataka kati ya haya matatu yafanyike....
√ Ajiokoe yeye na nafsi yake kwa kukiri makosa yake hadharani mbele ya sisi Watanganyika wote na kisha atubu dhambi hiyo mbele ya Mungu wa HAKI, Yehova...
√ Awajibike na afikishwe mahakamani kujibu mashitaka ya mauaji ya raia wasio na hatia zaidi ya 10,000 kwa siku nne tu...!
√ La akishindwa kutenda hayo mawili hapo juu, basi na yeye na genge lake la kihuni (wanaojiita Serikali haramu) wafe kwa aina ya vifo kama walivyoua ndugu zetu, baba na mama zetu, dada na kaka zetu. Hili hatuna utani nalo, Tunamwomba Mungu kila siku usiku na mchana...
NOTE:
Ana options hizo tatu. Achague inayomfaa. Sisi hatutaki afe, lakini dhambi na kosa la kumwaga damu ya mtu mwingine asiye na hatia hukumu iko bayana imetamkwa na Mungu mwenyewe hapa👇🏻
Mwanzo 9:6 BHND
"......Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu...."
Lakini ipo njia ya kuepuka hili ndani ya Neno la Mungu hilihili. Soma hapa 👇🏻
2 Mambo ya Nyakati 7:14 BHND
"....kama watu hao wangu wakijinyenyekesha, wakasali, wakanitafuta na kuacha njia zao mbaya, basi, mimi nitawasikiliza kutoka juu mbinguni; nitawasamehe dhambi yao na kuistawisha nchi yao...."