Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kijijini kwenu walikukaririsha kunywa bia ndiyo unaepuka stress!?Kitumbua kibichi wewe!Njoo unywe bia dogo ushushe hasira na stress. Sijakuambia uwe maskin.
Kijijini kwenu walikukaririsha kunywa bia ndiyo unaepuka stress!?Kitumbua kibichi wewe!Njoo unywe bia dogo ushushe hasira na stress. Sijakuambia uwe maskin.
Lile jamaa la ZimbabweItakuwa ya nani sasa?
Shetani mumiani mnyonya damuAmejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.
Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana, utamfanya Samuya akosane na hao watoto.
Hivi sasa huyu ni rais wa nafsi yake tu, maana ndiyo haitilii shaka. Huyo mume wake ndiyo kabisaa , nadhani hata haonani naye tena.
Maisha haya bwana! Bora kuwa raia kuliko kuwa rais feki, anaejifungia ndani kama utumbo.
Sio Dr huyo kilaza, hana uwezo wa kuipata darasani!.Dr. SAMIA SULUHU HASSAN 🇹🇿
Ni mtaalamu wa siasa za Karne ya 21. Mtaweweseke nyny lakini ameshasema
KAzi IENDELEE
KAZI na Utu Tunasonga Mbele
Njoo unywe bia dogo ushushe hasira na stress. Sijakuambia uwe maskin.Kijijini kwenu walikukaririsha kunywa bia ndiyo unaepuka stress!?Kitumbua kibichi wewe!
Kama umejadiliana na Mungu sawa endelea kusubiriKila mtu atakufa ila akitangulia ni bora kwa maslahi mapana ya wengine wengi.
Imeandikwa,...ilimpasa mmoja afe ili wengine wapone.
Kwenye ukoo wenu ndivyo ulivyokaririshwa kwamba mtu asiyekunywa bia ni masikini?Bloody loafer!Njoo unywe bia dogo ushushe hasira na stress. Sijakuambia uwe maskin.
Ukiwa maskin hata kufikiri kwako kunakua kwa ovyo ..imagine mmekaa hapa mnamjadili Rais kwamba hatoki, kwamba kwanini Hadi, mnamuwazia mabaya tu kenge nyieafrika muslims ndiyo jamii pekee duniani ambayo inamuona mtu masikini ni kosa lake, pure evil ...
Huyu ni Rais wa Tanzania anaitwa Dr Samia Suluhu Hassan 2025-2030, Kuna chuma kingine cha CCM kinakuja 2030-2040.Sio Dr huyo kilaza, hana uwezo wa kuipata darasani!.
Nani...Shilolle...??Huyo mume wake ndiyo kabisaa , nadhani hata haonani naye tena
Ukiwa maskin hata kufikiri kwako kunakua kwa ovyo ..imagine mmekaa hapa mnamjadili Rais kwamba hatoki, kwamba kwanini Hadi, mnamuwazia mabaya tu kenge nyie
My goodness. Kama Mwenyezi Mungu aishivyo, naumuomba akutendee kadri ya matendo yako. Mwenyezi Mungu akulipe kulingana na matendo yako. AminaMisingi ya taifa letu ni ipi!?linapokuja swala la madaraka!!?
Uhai wa mtu sio chochote kama itikadi yake na maoni yake yanatishia chama kushika dola!
Sisi uhai wa chama ni muhimu kuliko uhai wa mpiga kura!
Samahani.Ni utumbo wa kuku,kitimoto au bata anayeharisha?Maana nilikuwa natafakari hapa shambani nikakwama mkuu.Utumbo!Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.
Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana, utamfanya Samuya akosane na hao watoto.
Hivi sasa huyu ni rais wa nafsi yake tu, maana ndiyo haitilii shaka. Huyo mume wake ndiyo kabisaa , nadhani hata haonani naye tena.
Maisha haya bwana! Bora kuwa raia kuliko kuwa rais feki, anaejifungia ndani kama utumbo.
Uvivu wa kusoma na kufuatilia mambo kiundani. Kila kitu unachokisoma Google unadhani ni sahihi. Google kuna garbage nyingi, usizimeze zote.Samahani.Ni utumbo wa kuku,kitimoto au bata anayeharisha?Maana nilikuwa natafakari hapa shambani nikakwama mkuu.Utumbo!
Sasa mkuu.Uvivu wa kusoma na kufuatilia mambo kiundani. Kila kitu unachokisoma Google unadhani ni sahihi. Google kuna garbage nyingi, usizimeze zote.
Chukua kitu Og toka mtafiti Sexless
Akifa itakuwa ni furaha kuu nchi nzimaAkitoka nje mnakasirika na kumtukana hapo mnamuombea afe ..wajinga nyie