akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Jk huyo mpenda nyuchi!Itakuwa ya nani sasa?
Jk huyo mpenda nyuchi!Itakuwa ya nani sasa?
Na stress ndio zitamuwahisha kwenye kiti cha hukumu kwa MunguNewton's third law of motion state that: For every action there is an equal and an opposite reaction.Hii inamaanisha kitendo alichokifanya Samia tarehe 29/10/2025 Cha kuwaua hovyo wapigania haki na kuziacha familia za wahanga kubaki na maumivu na msongo wa mawazo ndivyo Hivyo hivyo na yeye ataumia hadi mwisho wa maisha yake
Ondoa huyu kilema
Kiuhalisia hawajui wanachotakaNongwa zinawatesa wabongo, JK alipozurura dunia nzima mkamuita Vasco Da Gama.
Ukifika muda atakwenda tu huko ughaibuni.
The neglected president😂 The Delegating President.
Hakuna anayeongelea safari za nje wala za ndani. Soma vizuri.Nongwa zinawatesa wabongo, JK alipozurura dunia nzima mkamuita Vasco Da Gama.
Ukifika muda atakwenda tu huko ughaibuni.
Mara ya mwisho tulivyoambiwa hivyo zilifuata RIP za yule mtu aliyekuwa kwa avatar yako zamani.Unataka Rais ukutane naye anachagua mitumba karume?
Are you trying to justify something?Na hapa Mimi natofautiana na wengi!
Samiah sio wa kuchukiwa hivyo!anatumikia mfumo uliomlea na alioukuta!!!
Alimuona Mzee mkapa akiwawaua Hadi watoto ambao walikua wanatoroshwa kwenda mombasa kama wakimbizi enzi zile wakazamishwa majini!
Mauaji ya mwembechai!!?
Kuna Rais ambaye hajaua watanzania wenzake kisa itikadi na sera!!?
Tulipoifanya siasa kama KAZI ya mapesa mengi kuliko usomi na ueledi ndipo tulipozalisha mauaji na umwagikaji damu muuonao Hadi leo!!
Mtu hawezi muua mwenzake ili apate masters degree au diploma au Ili awe Mwalimu!
Bali anaweza muua mtu kisa itikadi au tishio kwenye nafasi ya kisiasa aliyonayo!!
Amkeni,hata kama ungekua wewe na umepewa jukumu la kukivusha chama,huwezi kivusha bila kuua wanaharakati was kitikadi ndani na nje ya chama!!
Hivi umeshapata mawazo ya Kimbesa na Troll?Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.
Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana, utamfanya Samuya akosane na hao watoto.
Hivi sasa huyu ni rais wa nafsi yake tu, maana ndiyo haitilii shaka. Huyo mume wake ndiyo kabisaa , nadhani hata haonani naye tena.
Maisha haya bwana! Bora kuwa raia kuliko kuwa rais feki, anaejifungia ndani kama utumbo.
Troll ***** tu yuleHivi umeshapata mawazo ya Kimbesa na Troll?
Kwani mwipo wa ngapi?Troll ***** tu yule
😁😁😁Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.
Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana, utamfanya Samuya akosane na hao watoto.
Hivi sasa huyu ni rais wa nafsi yake tu, maana ndiyo haitilii shaka. Huyo mume wake ndiyo kabisaa , nadhani hata haonani naye tena.
Maisha haya bwana! Bora kuwa raia kuliko kuwa rais feki, anaejifungia ndani kama utumbo.
Hamna kitu paleSUbirini salamu za mwaka mpya na ripoti ya mh jaji mstaafu
Mkuu comment yako natamani uifungulie post au unaonaje?JK achek na wowote since abduli ampige kitu cha mrusi hapo subiri comeback tu, kule nchimbi huku jk wote lengo moja then mmoja nae urusi.
Amen, na iwe harakamnamuombea afe ..
Mo29 to 03rd Nov Massacre ni hatari ,haipaswi kujirudia na waliohusika wote wachukuliwe hatua.Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha.