Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
 
Screenshot_20251111-130109~2.jpg
 
Hao vibaka wapenda utajiri bila mtaji lzm waje hapa na matusi gunia nane.
Wapi umewahi kusikia maandamano yasio na kiongozi yyt hata mmoja wa upinzani?
Wale woote wanao wapandisha hawa vijana jazba wako nyuma ya pc na kubwabwaja tu. Halafu cha kushangaza kila mropokaji ni mtu asie na chochote cha kupoteza Nchini halafu wanajiita wazalendo.
We huna hata baskeli utajali nini nchi ikiwaka moto?
Yaani tuseme matajiri woote Tanzania wanaikubali CCM?
Mbona hakuna tajiri mwenye mali zake nchini akatokeza kupambana .?
Wanawaachia wale vibaka wakavunje maduka na kuiba halafu wakishugulikiwa wanadai wameonewa
Wasipokuwa na adabu DOLA itawatia adabu .

Sasa ngoja waje na mipasho yao.
Lkn hakuna cha ICC wala IPC hapa.
 
Mkuu una haraka ya nini,haya mambo Yana hatua zake, ICC haikurupuki Wala sio kangaroo court kama za Tanganyika akisema Samia kumfunga Lissu basi anafungwa.

Kwa sasa ICC hakuna kesi rasmi iliyofunguliwa, bali kuna mchakato wa tathmini ya awali (preliminary assessment) unaoendelea kwa maombi yaliyowasilishwa ili kuona kama Kuna jinai au lah.

Kuwa mvumilivu,kufikia mwezi wa tatu utapata majibu mazuri sana
 
mkuu hakuna chawa anayeweza kukuelewa hapo....wanadhani ICC inaendeshwa kama kisutu
 
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Nashauri ambaye wewe siyo mjinga ujijibu swali lako. Sijui kama kuna. mwelevu asiye mpumbavu achia mbali kuwa mjinga kama sisi anaweza kutaka wale anaotuona wajinga tumjibu swale la kijinga analoona ni la kiweledi. Kwa ID yako naona chawa na si binadamu mwenye akili hata mbaya bali mdudu anayenuka apendaye uchafu na uoza mbali na unyonyaji.
 
Walioumizwa au kupoteza wapendwa wao watafute haki Kwa njia nyingine.
Wasitarajie haki kwenye mahakama yoyote.

Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Hakuna kipindi kina fursa kama hiki......Kuna wajanja wako zao liwale huko wanajipigia Hela kama hawana akili nzuri Huku hii yenyewe ikiwa unazubaa Huku mitandaoni ikiongozwa na mange na maria kumzushia Samia kifo🤣🤣🤣
 
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.

Hakuna paragraph, koma, alama ya kuuliza, kama unamuandikia x girl friend wako, pumbavu kabisa!
 
Mijinga na mipumbavu sana hii. Hakuna kipindi kina fursa kama hiki......Kuna wajanja wako zao liwale huko wanajipigia Hela kama hawana akili nzuri Huku hii yenyewe ikiwa unazubaa Huku mitandaoni ikiongozwa na mange na maria kumzushia Samia kifo🤣🤣🤣

Mijinga kweli hii!!!!
Liwale kuna pesa kama njugu.
Ukiwa na million 3 ukanunua mashine ndogo 10 za kuvuta maji una uhakika kupata laki 3 kila siku migodini.
Fursa ni nyingi.
Hiyo million 3 ukanunua boxer utaletewa elfu 10 kwa siku na siku isiyo na jina utasikia bodaboda kafa pikipiki iko kituoni . Matengenezo million 1.
Kipindi hichi cha Samia mtu asipotoboa basi tena.
Liwale ndio home ingawa nina miaka 15 sasa sijapagusa
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Bahati yako hakuna reaction emoji ya Dole 😬
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
Haijalishi, tusichokitaka sisi ni kitiharibia nchi tu basi, tutailinda hata miaka 1000 ijayo.
 
Back
Top Bottom