Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Sana aisee. Kuna jamaa ameenda juzi tu na kamtaji kake ka milioni 5, Leo hii anamiliki nyumba ya milioni 45 dar, gari na hataki kabisa kusikia habari za kuhama huko. Hii mipumbavu inakalishwa na maria hapa eti kumtoa Samia wachukue wao madaraka. Nyambaaaf!!!Liwale kuna pesa kama njugu.
Ukiwa na million 3 ukanunua mashine ndogo 10 za kuvuta maji una uhakika kupata laki 3 kila siku migodini.
Fursa ni nyingi.
Hiyo million 3 ukanunua boxer utaletewa elfu 10 kwa siku na siku isiyo na jina utasikia bodaboda kafa pikipiki iko kituoni . Matengenezo million 1.
Kipindi hichi cha Samia mtu asipotoboa basi tena.
Liwale ndio home ingawa nina miaka 15 sasa sijapagusa