haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    IGP Koome ajiuzulu, Ruto aridhia kujiuzulu kwake

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu. Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake. ===== NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome has resigned following mounting pressure over police brutality during recent protests that rocked...
  2. GENTAMYCINE

    Tulizoea kuyasikia haya yakitokea Mikoani tu kumbe hata Dar es Salaam tunakosema kuna Waliostaarabika pia kuna huu Upumbavu na Ukatili usiovumilika?

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. Chanzo: itvtz Kuna Siku nitaiomba Serikali inipe hata mara moja tu GENTAMYCINE ruhusa ya...
  3. H

    Vijana wa kitanzania tupunguze na kuacha haya mambo Kwa sisi tunao jitafuta

    Vijana wengi tz tunajitafuta huku tukiwa hatujui ni lini tutajipata kuwa na maisha Bora ya Leo n kesho za watoto wetu. Viko vitu Kwa vijana wengi huvifanya kama njia za kuona watafanikiwa zaidi wao baadhi kumbe ndio wanaji tokotesha jumla jumla. Vitu vifuatavyo tukiacha vijana wa kitz...
  4. Dan Zwangendaba

    Majina haya yanatoweka kwa kasi katika Jamii

    1. Sikudhani 2. Mwamvita 3. Chiku 4. Mwadhani 5. Sipati 6. Jualako 7. Ubaya 8. Havijawa 9. Havintishi 10. Hakai 11. Hazimala 12. Msichoke 13. Ongeza yako Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
  5. EDIGAR JO

    Kwa makato haya kwa mwanafunzi atanufaika lini sasa?

    CRDB EBU WEKENI ACCOUNT WEZESHI NA SIO HUU UPUUZI WENU LA SIVYO KITAWALAMBA Eti hii ndo account ya MWANAFUNZI isiyo na makato khaaaaaaa🙄🙄 Na za wafanyakazi hali ikoje Jamani?.🤣
  6. Lord denning

    Tusipofanya haya kila siku tutabadili Kamishna wa TRA

    Mwaka 2022/23 niliandika mada nzito sana kuhusu mambo yanayopaswa kufanywa bandarini kufuatia suala la kubadilishwa kila mara wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari. Nashukuru pendekezo langu nililolitoa la kufanya bandari zetu kuendeshwa kwa sehemu kubwa kwa mfumo wa PPP (Serikali na sekta binafsi)...
  7. Manyanza

    Siungi mkono haya mambo yanayomfanya na Manabii, Waziri wa mambo ya ndani chukua hatua.

    WAKUU Tusifanye masikhara huu mchezo unaofanyika pale Kawe na kule Kimara Temboni, haufai na hauna ustawi kwa afya ya Taifa letu. Na huwa ni nashangaa sana @Wizara Mambo ya ndani, wanalea na kutetea huu ujuha kwenye Taifa linalohitaji jitihada za ziada kujikwamua ili Wananchi wake waweze...
  8. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka

    Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake. Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukisikia kua uyaone ndo haya sasa: Bhufakale dawa ya kuchelewa kufariki (kufa)

    Habari za Leo mabibi na mabwana. Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..) Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu. Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya...
  10. T

    Iwapo Msigwa angemshinda Sugu yote haya angesema na kukimbilia CCM. Anyamaze kulinda heshima yake

    Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
  11. M

    Haya ni mazao matano ambayo hayana mkono wa Serikali, ukikaza huko unachomoka na pesa

    Umaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa wakulima ni kuwapangia bei, soko na kuwaundia wakulima sera za ajabu ambazo mwisho wa siku huathiri...
  12. Kurunzi

    Rev Msigwa, Karibu CCM ila Usisahau hilli Ni Baada ya Dau Kifikiwa

    CCM inazidi KUVUNA. Hali tete Chadema. Ukitafakari sana unaweza kudhani mpinzani halisi ni Luhaga Mpina kumbe Peter Msigwa ndiye CCM kindakindaki. Najua hujaelewa. Iko hivi; ndani ya CCM wanaamini Luhanga Mpina amekuwa mpinzani dhidi ya serikali ya CCM ambayo kimsingi ndiye iliyompa kibali cha...
  13. GENTAMYCINE

    Kama haya ndiyo Mafanikio makubwa ya TP Mazembe kwa Soka la Afrika ambalo Yanga SC bado Wanajitafuta, walichokuja Kujifunza Kwao ni nini / kipi?

    Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe amefika CAFCL Semi Finals mara 19 Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP...
  14. GENTAMYCINE

    Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  15. mwanamwana

    Tabata Bonyokwa tumepata maji siku moja baada ya kulalamika JamiiForums, ila tunaomba haya yazingatiwe

    Nipende kuipongeza japo kinafiki Mamlaka ya Maji DAWASA kwa kutupoza machungu ya kutokuwa na maji takriban wiki nne. Binafsi natambua kuwa suala la huduma ya maji ni gumu sana hivyo lawama haziepukiki. Natamani kuwepo na taarifa ya ratiba ya mgao wa maji kwa maeneo ambayo yana changamoto hasa...
  16. R

    Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  17. Manyanza

    Tegua Haya Mabomu Saba!

    Kuna watu umewaruhusu wawe sehemu ya maisha yako kukupotezea muda tu. Haya ni mabomu! Yamelipua uchumi wako, mapenzi yako, siasa zako, kazi yako, dini yako. Huna hamu ya kuishi! Kuna watu unasema ni watu wako lakini hawajawahi kukupa hela,wala hawajawahi kukupa mchongo wa hela, hata ukipata...
  18. Kaka yake shetani

    Hivi NASACO ingekuwepo mpaka leo haya ya bandari tungekuwa tunalalamika kweli

    Nafikiria nchi inavyokwenda mpaka unaweza kujiuliza hivi hii CCM iliyopo madarakani imeharibu vitu vingapi ambavyo vingekuwa msaada mkubwa leo. Hujuma zinazofanywa na ripoti za CAG zilishawahi kufanyiwa kazi? NASACO iliungua na ukawa mwisho wake...
  19. Feisal2020

    SoC04 Uhaba wa Ajira kwa Vijana: Serikali Ifanye Haya Kuimarisha Gig Exonomy

    "Serikali yenu, tunajua tatizo la ajira na tutajitahidi kutengeneza fursa mbalimbali ili vijana wapate ajira.” Leo ni tarehe 9 Juni, 2024, takribani miaka miwili na miezi yake kadhaa tangu kauli hiyo itolewe na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Suala la iwapo...
Back
Top Bottom