John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.
First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.
He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.
Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.
His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hawafai hata...
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Sikuwa shabiki wa yule mzee, kachangia pakubwa sana kuua demokrasia, keleta hali ya unafiki kwenye mahakama, bunge ndo kabisa aliligeuza kituko hadi kuna wabunge waliapishwa gereji wakitokea jela usiku uliopita.
Lakini one thing unaweza kumsifu ni connection yake na street na maisha ya mtu wa...
Leo nimejikuta nawaza!
Nini hasa ambacho kipo nyuma ya pazia kati ya Hayati Magufuli na Jenerali Ulimwengu?
Msingi wa swali langu unatokana na maneno ya Jenerali Ulimwengu kwa Hayati Magufuli! Sijawahi kumsikia Mzee Ulimwengu akimsema Magufuli kwa mazuri, na hili limeingia mpaka kwenye gazeti...
Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.?
Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo...
Watumishi wa Umma nchi hii hawajitambui kabisa.
Hayati Magufuli aliwapunguzia kodi ili mishahara yao iboreke wakalamika sana.
Leo Rais Samia ameongeza moja kwa moja ile Gross salary bado wanalialia
Nyie watumishi mkoje lakini?
Mnataka nini?
Nimeamini kabisa kuwa hakuna anaye ijua kesho yake.
Kipindi cha Magufuli kuna watu walijitolea kuanzisha mijadala ya kumuongezea muda wa kutawala ili kama nchi tuwe kama Rwanda, Burundi na Uganda.
Lkn Mungu akawa kikwazo kwao na akamchukua mwendazake na matokeo yake sasa waliokuwa na hiyo...
Chanzo cha habari gazeti la the The Citizen la leo Machi 30, 2021.
Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza.
Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo.
Siku Hayati John Pombe Joseph Magufuli anazindua Stand kuu ya Mabasi iliyopo Mbezi Louis katika mambo aliyowaahidi wakazi wa Mbezi na Kibamba ni pamoja na Kujenga barabara za Mpiji na Makabe kwa kiwango cha lami.
Siku hiyo aliongea kwa kumaanisha kuwa utekelezaji wake ungeanza mapema tu...
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda sana na kuwavumilia Chadema vinginevyo mh Mutungi angekifutilia mbali.
CHADEMA na viongozi wenu msipofuata agizo la mwenyekiti Mbowe kwamba muache Mihemuko, Uzushi na Uchochezi basi chama chenu hakika kinaweza kufutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya...
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasili katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF), ulioanzishwa na Mama Anna Mkapa.
Chanzo: Azam TV
Mfuko wa...
Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha...
Wakuu,
Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu.
Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye akawa anasema Matajiri nataka waishi kama Mashetani.
Hivi kutengeneza Royal Tour kwa Manuu ya au...
Tusifichane,
Imebaki kuwa wale wale wenye chuki na Hayati JPM, tena ni wale wale ambao yeye aliwaita wakwamishaji wa maendeleo ya nchi, na aliwashughurikia kisawasawa
Waliokuwa wakila pesa za walipakodi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa, ndio hao hao wana chuki naye mpaka leo, kwa sababu mirija...
Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Nimeziona sababu alizozitoa MD wa Tanesco Maharage Chande sijaona hata moja inayoingia Akilini.
Sehemu iliyonishangaza zaidi ni kuona MD wa Tanesco Maharage Chande akitutaka Watanzania tuache Kulaumu / Kulalamika huku akituasa tutoe Ushirikiano.
Hivi Wewe MD wa Tanesco Maharage Chande yaani...
Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa ambacho hayati JPM asingekubali kifanyike.
Ninajiuliza:
• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?
• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru...
Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.
Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.