hayati magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. Nehemia Kilave

    Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

    Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya. Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia . Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi...
  2. Nehemia Kilave

    Tunashukuru Mwalimu Nyerere kwa kutuletea Mzee Mkapa. Sina uhakika ni nani alisuka Mpango wa Magufuli, ila alitufaa sana

    Ukitaka uwapange Ma Rais wetu watano kwa ufasaha sana kwa namna walivyoitendea nafasi waliyopewa ya kuongoza Nchi pamoja na mapungufu na kushindwa kutupatia katiba Mpya utawaweka kama ifuatavyo . 1. Hayati Benjamin Mkapa Aliamini ukiwa na Taasisi zilizo imara basi utaweza kuwa na uchumi na...
  3. Nehemia Kilave

    Kiuhalisia hayati Magufuli alishinda uchaguzi 2020, vijana jitokezeni kujiandikisha na kupiga kura

    Habari JF, Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda. 2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli...
  4. Nehemia Kilave

    CCM ni zaidi ya chama, Hayati Magufuli na sasa Rais Samia tunawaonea tu

    Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure. Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango Na ili mtu abakie kwenye cheo lazima aingie kwenye mfumo . Ni bora Upinzani kuangalia namna ya kuitoa...
  5. Mwande na Mndewa

    Tulimsingizia na kumhukumu Hayati Magufuli juu ya utekaji, Je leo tutamsingizia nani? Magufuli hayupo

    Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea Tulimsingizia Magufuli kamteka eti kwa madai msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli, Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!? Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio...
  6. GENTAMYCINE

    Pre GE2025 Mnaolia leo katika Awamu ya Hayati Magufuli mlimsema sana kuwa anawapiga na kuwatesa na kumtetea wa sasa, ila naye leo kawageuka!

    Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa wanampamba kwa gharama za Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Magufuli. Pia soma: Thread 'CHADEMA: Tutafungua...
  7. Mkalukungone mwamba

    Balozi Nchimbi: Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia ni moja ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Magufuli

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kazi kubwa anayoifanya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Balozi Nchimbi amezitaja mojawapo ya...
  8. GENTAMYCINE

    Semeni mtakavyosema, ila ukweli ni kwamba SGR bila Nguvu ya Hayati Magufuli na Uthubutu wake leo tusingeifurahia tusimbeze hata kama Kalala mazima

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya...
  9. Nehemia Kilave

    Je tuendelee kuamini katika kudanganywa ?

    Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ? Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma Rais wa nyuma ? Je tuendelee kuamini CCM inatuongoza katika njia sahihi kama wanavyodai ? Je...
  10. J

    Kwanini Hayati Magufuli aliogopwa sana na Waandamanaji tofauti na Ruto anavyoonewa huko Kenya?

    Maandamano ya CHADEMA yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z. Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha kuwafanya CHADEMA waufyate Lakini hapo Kenya kila wiki Rais Ruto anatoa Vitisho vipya lakini Gen Z...
  11. Tulimumu

    Kosa kubwa alilofanya ilikuwa ni kurithi Baraza la Mawaziri la Hayati Magufuli

    Mimi naona haya mahangaiko ya kutea na kutengua kila siku yanatokana na kosa alilofanya Mh. Rais la kurithi baraza la mawaziri la JPM kama yeye mwenyewe alivyorithi urais. Kwakuwa alikuwa ni Rais mpya alipaswa kumteua Waziri mkuu mpya na kisha kuwasilisha jina lake bungeni ili lipitishwe kisha...
  12. Nyankurungu2020

    Picha: Wenye CCM waliomdhihaki na kumkebehi shujaa wa Afrika Hayati Magufuli

  13. J

    Hayati Magufuli alimtumbua January Makamba 21/07/2019, na Rais Samia amemtumbua 21/07/2024. Tumbuzi zote mbili ni Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu

    Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake Ila natania tu 😃😃 Kwako Mshana Jr kilingeni Miono Pia soma Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe Uteuzi na Utenguzi...
  14. Replica

    Paul Makonda amkumbuka Hayati Magufuli, asema kilikuwa chuma. Asikitika fimbo kuondolewa mashuleni

    Paul Makonda akiwa kwenye mkutano jijini Arusha ameongelea mambo kadhaa ikiwemo kumkumbuka Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli jinsi alivyokuwa makini na mkali inapofika suala la uongozi. Paul Makonda: Ametoa takwimu hapo Ngorongoro girls watoto wanashindwa kuendelea na masomo, yaani...
  15. B

    Enzi za Hayati Magufuli Wafanyabiashara wasingejaribu kugoma. Imekuwaje leo?

    Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii! Maweee! Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta. Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi. Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya...
  16. Erythrocyte

    Tido Mhando: Awamu ya Hayati Magufuli imechangia 'Comedy Journalism'

    Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando. Mhando ameyasema hayo alipotoa hotuba yake kwenye kongamano la Maendeleo ya sekta ya habari linaloendelea Dar es Salaam Ni nini...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

    Usipite na gari lako Kijazi interchange. Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi. Fanya hivyo boss utakua na amani. Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote. Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data...
  18. Nehemia Kilave

    Ni wakati Muafaka sasa watumishi wa Umma kumsamehe Hayati Magufuli na kayaishi Mazuri yake

    Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne 1.Mishahara haikupanda 2.Watu hawakuajiriwa 3.Madaraja hawakupandishwa 4.Mianya ya Upigaji ilizibwa Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi...
  19. L

    Hayati Magufuli alimkataa Mangungu mwaka 2020 na akakata jina lake licha ya kushinda kura za maoni, sisi Simba ndio tukamuona anafaa na sasa tunalia

    Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale. Baadae...
  20. Megalodon

    Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

    Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia. Samia aliingia kwa mbwembwe na vigelegele pamoja na...
Back
Top Bottom