Bado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana.
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli alikuwa na majina mengi ya utani, kama vile Tingatinga, Chuma...