Kuna watu huku JF ukitaja JPM wanakosa raha na wanafanya kila liwezekanalo ili wazime nyota yake.
Ila sipo uko
Kipindi cha JPM watanzania tulitembea kifua mbele sana.
JPM alifanya Tanzania tujulikane nje ya Tanzania sana kwa wale ambao wanatembea sana katika nchi nyingine watakubaliana na...
Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli.
Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
1. Kamwe asingekubali Mita za LUKU kutumika kukata kodi za majengo. Hapa waathirika wengi ni wapangaji ambao wengi wao ni masikini na sio wamiliki wa hayo majengo/nyumba.
2. Kamwe asingekubali Tozo za miamala ya simu. Hili asingelikubali abadani asilani. Maana miamala tayari ilikuwa na VAT...
Sikiliza hii kwa makini mpaka mwisho
Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kwake wanyonge imeendelea na jitihada zake za kuwapunguzia riba wakopaji wadogo wakati na wakubwa (MSEs, SMEs & Cooperate)
Akihojiwa na kituo cha Utangazaji cha E-FM redio, Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe David...
Leo 10:15pm 07/05/2022
Kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika uchumi wa chini, ukiwa katika uchumi wa chini kabisa, sera ya taifa na lengo linapaswa kuwa kuelekea uchumi wa kati wa ngazi ya chini, hii ni hatua moja kutoka katika uchumi wa chini,adhma na...
Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato.
Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO.
Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania ni Nchi ya ajabu kweli kweli!
Hayati Rais Magufuli amefariki hata mwaka mmoja haujaisha hofu kuhusu...
Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM.
Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.
Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis...
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI...
Unajua hawa watu wanatufanya mazezeta aisee ukweli ni kwamba kikwete ndo alifanya Tanzania kuingia uchumi wa kati kwa hoja zifuatazo:
Kwanza kabisa kigezo cha kua uchumi wa kati mdogo unapaswa uwe na Per capita income ambayo ni dola za kimarekani $1036 hadi $4045.
Kwa uchumi wa kati mkubwa...
Kuna wimbi la kuwalaumu watu kuwa wakati wa Mheshimiwa Marehemu JPM hawakuweza kuitetea kweli au kuisema haki, hivi ni nani alikuwa na uthubutu wa kumpinga kumshauri au kumkosoa?
Tuseme ukweli tutajieni watu waliokuwa na uthubutu wa wazi kabisa kumzungumza, Mheshimiwa Magufuli zaidi ya kumsifu...
Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.