Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM?
Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika.
Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua.
Hii ni ngumu...