Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.
Hongereni kwa Ubunifu huo wa Kinafiki wakati nanyi pia mlikuwa ni sehemu ya yaliyokuwa Maamuzi ya Hayati huku mkisimama Hadharani Kuyapongeza na Kuyaunga mkono, ila leo baada ya Kumhifadhi Milele Kanda ya Ziwa mmembadilikia ghafla.
Sasa KEROZENE nasubiri zangu kwa hamu mkubali na Pesa za hao...
Kila mwaka zaidi ya wasichana 6,500 wa Kitanzania waliachishwa|walifukuzwa shule kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni,
Mwaka 2017 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwa kutumia nguvu ya Rais alikataa watoto hawa kuendelea na masomo.
Benki ya Dunia...
Inasikitisha sana!
Tuna viongozi wa ajabu sana Nchi hii ! CCM iko wapi?
Aliyelieleza Taifa kuhusu " madudu" ya mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo alikuwa ni Rais wa JMT, Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Nchi, Raia namba moja mwenye taarifa zote muhimu 24/7 kuhusu Nchi yake kuliko raia mwingine...
Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO.
Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania ni Nchi ya ajabu kweli kweli!
Hayati Rais Magufuli amefariki hata mwaka mmoja haujaisha hofu kuhusu...
Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli.
Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli.
Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa...
Alidhibiti kwa kila namna wanaCcm wenzake walioliibia taifa la Tanzania kupitia sekta ya umeme. Hawa ni wale ambao kila mwaka walipiga dili kujifanya wanasaidia taifa kudhibiti upungufu wa umeme nchini ila kumbe walijinufaisha kwa asilimia kubwa.
Aliwadhibiti wanasiasa wenzake wa Ccm ambao...
ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.
Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao...
Salama humu,
Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!
Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho...
Samia,una habari Nchi ipo gizani?
Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?
Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?
Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako...
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!
Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.
Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa...
Habari wanaJamiiForums
Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti...
Amani iwe nanyi wanaJf,
===
Nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao||
===
Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila...
Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu.
Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi interchange!
Leo hii Kibaha mpaka Mbezi foleni ni story iliyosahaulika.
Stand ya kisasa ya ya...
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)
Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..
Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL.
Masaa machache tu Rais Samia...
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.
Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.
JPM alichukiwa na mafisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.